jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Harakati za pesa zipo kwa sana..mji wa kibishara kwa mikoa yetu ya kusini tunapaita njia nne...korosho..mbaazi..ufuta na mazoe mengine lazima yapite masasi ili yaje mjini..so pesa ipo..ila nashangaa haionekani kwenye list.Unamaanisha nini mkuu unaposema kuna happen?
Shida hizo miji ni kama magulio sijui au imejaa Wachuuzi haina vyanzo vya uhakika vya uchumi just kama Makambako ndio maana unakuta hakuna cha maanaHarakati za pesa zipo kwa sana..mji wa kibishara kwa mikoa yetu ya kusini tunapaita njia nne...korosho..mbaazi..ufuta na mazoe mengine lazima yapite masasi ili yaje mjini..so pesa ipo..ila nashangaa haionekani kwenye list.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huko Nachingwea kuna shughuli gani kuu za Uchumi tujuzane29. Nachingwea
Ahsante
A. KilimoMkuu huko Nachingwea kuna shughuli gani kuu za Uchumi tujuzane
Kwa hayo Mazao ,pesa ni uhakika..nimekusomaA. Kilimo
1. Ufuta
2. Mbaazi
3. Korosho
Yote hayo ni mazao ya biashara na yanazilishwa kwa wingi na ktk ubora; na misimu yake huwa inafuatana
B. Biashara
Ahsante
Pamoja sana mkuu. Karibu sanaKwa hayo Mazao ,pesa ni uhakika..nimekusoma
Kabisakipindi cha meko chato ingeshika nambari moja.
Hizo ni Manispaa uchwara,huko wanawakilishwa na Muleba na MisenyiWapi bukoba tc kwa akina katalaiya..
hakuna kuwekeza kule au sio mwaiseHizo ni Manispaa uchwara,huko wanawakilishwa na Muleba na Misenyi
Na BihalamuroNaomba na Karagwe iwepo kwenye list tafadhali !!!
Mbona mna chuki na Chato wakulungwaChato imeongoza makusanyo ,imekusanya 207% jumla ya tsh 1.7b.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tengeneza list yako uiweke mkuu
Dasalaam ni dasalaam mkuu lakini Kigamboni ni Manispaa kama MorogoroKigambon hata benki hakuna halafu ina mapato kuliko Morogoro mjini??