Hata huelewi unachoongea
Madiwani kwa nini wasitenge fedha kwa ajili ya kutatua hizo kero? Maana serikali imewaruhusu Halmashauri zitumie pesa zao.Msalala ipo hapo lakin hata barabara ya lami haina wananchi wake wanateseka hosptal hazina dawa huwez kuamin kama na wao wanaingizia mapato makubwa taifa au ndo hzo hela zinaenda kujenga flyover daslam
ViwandaChalinze na Mkuranga kuna kitu gani?
Wilaya za mkoa wa Lindi na Pwani bado zina fursa nyingi Sana ambazo ni untapped, utashangaa Sana by 2025.23.Rufiji
30.Kilwa
Safi sana ndugu zangu.
Ila nimeshangaa sana sijaiona Nzega Tabora.Pale wanachimba madini,wanafuga,wanalima...n.k kiufupi watu wake wanakipato cha uhakika sijui hii takwimu imepikwaje!
Kuna service levy bana na hii ndio imeipaisha Geita service levy ni asilimia 0.3 ya madini yote yanayouzwa sokoni hii inaenda Halmashauri.Madini sio chanzo cha Halmashauri bali wizara husika ndio inatoa leseni na kuratibu shughuli zote za Madini.
Hili ni tatizo Sana mkuu but kwenye Kodi za TRA aisee Mbeya iko nyuma Sana huwezi aminiMbeya inasukuma sana gurudumu la maendeleo ya taifa lakini inabaniwa sana katika miundo mbinu(The previous regime did this constantly!)
Endelea kukariri Mkuu,Chalinze kuna Viwanda kama vyote.Miaka 5 ijayo grafu yote itakuwa Pwani,Kusini na Nyanda za Juu Kusini.chalinze inaizidi kahama? kwa lipi
masihara sana hapa
Sasa hii income wanaipataje?Hili ni tatizo Sana mkuu but kwenye Kodi za TRA aisee Mbeya iko nyuma Sana huwezi amini
Wanapata kwenye shughuli za kawaida kilimo,viwanda vidogo vidogo, biashara ndogo ndogo na za Kati nk huku Kusini hasa Mbeya hakuna makampuni makubwa au utalii ambao ndio walipaji kodi wakubwa.Hata viwanda vikubwa ni vya kutafutiza.Sasa hii income wanaipataje?
Mkuu unafeli wapi? Tanga ni Jiji, Kahama ni Manispaa tena changa.Itakuwa ajabu Manispaa kuzidi jijiKumbe kahama aiifikii Tanga Cc πππ
Wewe chemsha yako mkuuNamanga.. Sirare Baba lao!! mwee! Mikindani/Msimbati!
Mahurunga. Bukoba Lukunyu/Hamgembe Bila kutaja hizi sehemu timilifu sitakuamini Milele....
Imepikwa hii...
ππ Mkuu Tng ilikuwa inaonekana ni halmashauri iliyopendelewa kupewa hadhi ya jiji ...wengine wakasema ni siasa zimetumika ktk miaka ile ya 2000'sMkuu unafeli wapi? Tanga ni Jiji, Kahama ni Manispaa tena changa.Itakuwa ajabu Manispaa kuzidi jiji
Kuwa tuu na movement kubwa ya watu sio ndio kwamba kuna hela.Baada ya Dar bandari yenye shughuli nyingi ni Tanga ,pia baada ya Dar,Pwani mkoa wenye viwanda vingi ni Tanga.ππ Mkuu Tng ilikuwa inaonekana ni halmashauri iliyopendelewa kupewa hadhi ya jiji ...wengine wakasema ni siasa zimetumika ktk miaka ile ya 2000's
Lkn pia kiuhalisia movement za watu kati ya Khm na Tng binafsi naona Khm ni zaidi kuliko Tng