The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Hata huelewi unachoongea
Nahisi kuna kata zikiruhusiwa kukusanya mapato kama Halmashauri zina hela kuliko mikoa baadhi..
Unaweza kukuta Upanga au Kkoo ina makusanyo kuliko mkoa wote wa Songwe na Singida combined