Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

Msalala ipo hapo lakin hata barabara ya lami haina wananchi wake wanateseka hosptal hazina dawa huwez kuamin kama na wao wanaingizia mapato makubwa taifa au ndo hzo hela zinaenda kujenga flyover daslam
 
Madiwani kwa nini wasitenge fedha kwa ajili ya kutatua hizo kero? Maana serikali imewaruhusu Halmashauri zitumie pesa zao.
 
23.Rufiji
30.Kilwa
Safi sana ndugu zangu.

Ila nimeshangaa sana sijaiona Nzega Tabora.Pale wanachimba madini,wanafuga,wanalima...n.k kiufupi watu wake wanakipato cha uhakika.Inashangaza hii takwimu imepikwaje!
 
23.Rufiji
30.Kilwa
Safi sana ndugu zangu.

Ila nimeshangaa sana sijaiona Nzega Tabora.Pale wanachimba madini,wanafuga,wanalima...n.k kiufupi watu wake wanakipato cha uhakika sijui hii takwimu imepikwaje!
Wilaya za mkoa wa Lindi na Pwani bado zina fursa nyingi Sana ambazo ni untapped, utashangaa Sana by 2025.

Mkoa wa Tabora zaidi ya Kaliua kuna nini huko kwingine?
 
Mbeya inasukuma sana gurudumu la maendeleo ya taifa lakini inabaniwa sana katika miundo mbinu(The previous regime did this constantly!)
Hili ni tatizo Sana mkuu but kwenye Kodi za TRA aisee Mbeya iko nyuma Sana huwezi amini
 
Baada ya Kanda ya Ziwa kutawala kwenye sekta ya Madini kwa mda mrefu,sasa rasmi Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imeingia kwa kishindo.

Migodi 3 mikubwa kufunguliwa sanjali na viwanda vya uchakataji

Screenshot_20210802-102855.png

Screenshot_20210802-102943.png

Screenshot_20210802-103023.png
 
Sasa hii income wanaipataje?
Wanapata kwenye shughuli za kawaida kilimo,viwanda vidogo vidogo, biashara ndogo ndogo na za Kati nk huku Kusini hasa Mbeya hakuna makampuni makubwa au utalii ambao ndio walipaji kodi wakubwa.Hata viwanda vikubwa ni vya kutafutiza.
 
Namanga.. Sirare Baba lao!! mwee! Mikindani/Msimbati!

Mahurunga. Bukoba Lukunyu/Hamgembe Bila kutaja hizi sehemu timilifu sitakuamini Milele....
Imepikwa hii...
 
Namanga.. Sirare Baba lao!! mwee! Mikindani/Msimbati!

Mahurunga. Bukoba Lukunyu/Hamgembe Bila kutaja hizi sehemu timilifu sitakuamini Milele....
Imepikwa hii...
Wewe chemsha yako mkuu
 
Mkuu unafeli wapi? Tanga ni Jiji, Kahama ni Manispaa tena changa.Itakuwa ajabu Manispaa kuzidi jiji
😃😃 Mkuu Tng ilikuwa inaonekana ni halmashauri iliyopendelewa kupewa hadhi ya jiji ...wengine wakasema ni siasa zimetumika ktk miaka ile ya 2000's

Lkn pia kiuhalisia movement za watu kati ya Khm na Tng binafsi naona Khm ni zaidi kuliko Tng
 
Kuwa tuu na movement kubwa ya watu sio ndio kwamba kuna hela.Baada ya Dar bandari yenye shughuli nyingi ni Tanga ,pia baada ya Dar,Pwani mkoa wenye viwanda vingi ni Tanga.

Je wewe unaamini siasa uchwara kwamba kijiji cha Wachuuzi cha Kahama kinaweza kuizidi Tanga kwa lipi?
 
Back
Top Bottom