Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba.

1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma
Mkuu, umesahau Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Kagera, Kigoma, Rukwa, na Katavi.....yaani hawa (hii mikoa) kwa ushamba ni noma.
 
No 8 itoe hapo, wakuja huwa wanalewa na kunogewa mavituzi ya wadada hawa had huwa wanasahau kwao.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii?
Nakubali Wakunyumba hawana shido.
 
Kwa hiyo mara na kagera ni kwa wajanja?
 
1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma
Mtoa mada ni mshamba
 
Kwa hiyo tukaoe huko penye washamba, ila wanyaki hapana...nasikia hawafai kuoa so sio washamba.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚lazima utetee ila moyoni unajua kama wachaga mna ushamba tena kishumundu, kibosho, umbwe, sijui old mosh kilua ๐Ÿ˜‚ afadhali kdogo wamarangu na wamachame
Au sindio
 
Sijaelewa ni mikoa ya mademu washamba ama ni mikoa ya mabint walioolewa vzr!? WaTz kwa ujumla ni washamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ