Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba.

Orodha ya mikoa yenye wanawake washamba.

Huko ndo panafaa kuoa sasa.Ww unataka kuoa mwamamke anae jua wachezaji wote wa man u 🤣🤣🤣wasanii wote anawajua ....
 
1.Simiyu
2.Geita
3.Shinyanga
4.Mwanza
5.Mbeya
6.Iringa
7.Njombe
8.Ruvuma
9.Lindi
10.Mtwara
11.Manyara
12.Singida
13.Rukwa.
14.Songwe
15.Dodoma
Hiyo top 4 ndio inaongoza kwa kutoa wake wa maana kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati.
 
Back
Top Bottom