Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
sawaTafdhali, rejea kwanza hivyo vifungu vya ubatizo. Kwa maana inazungumzwa bila kubatizwa bado utakuwa ni muislamu
alafu endelea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaTafdhali, rejea kwanza hivyo vifungu vya ubatizo. Kwa maana inazungumzwa bila kubatizwa bado utakuwa ni muislamu
Tatizo unasoma Biblia kama unasoma gazeti. Sote tuliobatizwa kwa Yesu tumebatizwa kwa Roho Mtakatifu na Moto. Moto imetumika Kama lugha ya picha ikimaanisha mateso.Ahsante ndugu, na vipi kuhusu ubatizo wa MOTO
Mkuu huo ni ufahamu wako au ndio ufahamu wa Biblia? kwa hiyo wewe unaikosoa Biblia iliyo ainisha aina tatu za ubatizo bila ya kuunga unga maneno. Leta kifungu kinacho eleza hayo uliyo yanena hapaTatizo unasoma Biblia kama unasoma gazeti. Sote tuliobatizwa kwa Yesu tumebatizwa kwa Roho Mtakatifu na Moto. Moto imetumika Kama lugha ya picha ikimaanisha mateso.
Ni wazi na hata Biblia imesema (sikumbuki vifungu maana huwa nasoma Biblia kuielewa na si kukariri) kuwa wote wampokeao Yesu Kristo hawana budi kuteseka kujaribiwa na ndio maana ya kubatizwa kwa Moto. Lakini tufurahi tupitiapo katika mateso na majaribu maana baada ya hayo yaja faraja. Ukristo sio mwepesi.
Ni wapi nilipoikosoa Biblia na uainishaji wa aina hizo za ubatizo ndugu? Hapo ninekuelewesha ufundi wa Biblia kutumia lugha ya picha kwani hilo ni jambo geni? Mbona ipo mifano mingi itumiayo aina ya lugha hiyo. Haya mfano ni the parable of the ten virgins na of talents pale Matthew 25.Mkuu huo ni ufahamu wako au ndio ufahamu wa Biblia? kwa hiyo wewe unaikosoa Biblia iliyo ainisha aina tatu za ubatizo bila ya kuunga unga maneno. Leta kifungu kinacho eleza hayo uliyo yanena hapa
🤣🤣🤣🙌🙌🙌Dhumuni la kubatizwa ni kuondolewa dhambi ya asili tuliyoirithi kutoka kwa Adamu na Hawa. Kwa mantiki hii ikiwa binadamu huzaliwa akiwa ni Muislamu basi uislamu ndio dhambi yenyewe ya asili. Basi nyinyi mwazaliwa dhambini na kufa dhambini. Poleni
Nini kinachokuchekesha wewe kafiri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Hapa mnajiona waarabu kumbe wamatumbi wenzetu .وَمَا أَرْسَلْنَا مِنْ رَسُولٍ إِلَّا بِلِسَانِ قَوْمِهِ لِيُبَيِّنَ لَهُمْ
Kafiri ni weweNini kinachokuchekesha wewe kafiri
Rejea kwenye hoja tafadhali, kunako ubatizo wa MOTOHuwa ni Shida mno kumuelewesha mtu aliekaririshwa!!
Ni vyema ukajikita kuchambua mambo yanayohusu Dini YAKO,ila uking'ang'ana na kuchambua Ukristo ambao sisi tunaongozwa na Roho😁hivyo tunaenenda kwa Imani,na ninyi mnaoongozwa na Sheria hautaambulia kitu.
Laana tul llah , manaswaraKafiri ni wewe
Tunawakaribisha Sana kwenye Neema ya Wokovu
Wokovu kutoka KWA Yesu,akukomboe wewe Uliefungwa na Mapepo na Majini!! KWA Jina La Yesu Neema Ya Wokovu ikufikie SASA. AmenLaana tul llah , manaswara
Wokovu wa nani ewe kafiri ?
Yesu aniombee ye kwani ni nani ?Wokovu kutoka KWA Yesu,akukomboe wewe Uliefungwa na Mapepo na Majini!! KWA Jina La Yesu Neema Ya Wokovu ikufikie SASA. Amen
1. Kwanza kabisa napenda kukujuza Kuwa kauri ya kwamba Mtu huzaliwa mwisilamu akibatizwa ndiyo anakuwa mkiristo ni uongo. Lejea history ya uisilamu umeanza miaka 600 baada ya ukristo. Swali hapa kabla ya uisilamu kuja mtu alikuwa anazaliwa Kama Nani? Na kubatizwa anakuwa mkiristo.Msaada,
Kwanza kabisa, mimi ni muumini wa dini ya Kiisilamu, lakini naisoma Biblia hatua kwa hatu, Mistari ifuatayo imenichanganya sana kunako swala la Ubatizo. Inaaminika kwamba kila mtu huzaliwa akiwa ni muislamu hadi pale atapobatizwa ndio atakuwa Mkristo safi. Sasa ubatizaji nimeokutana nao katika biblia naona umegawanyika vifungu vitatu na sielewi kipi ni sahihi kufuatwa.
MATHAYO 3:11
Kweli mimi ''nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba'' bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; ''yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.''
MARKO 1:8
Mimi ''niliwabatiza kwa maji; bali yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.''
LUKA 3:16
Yohana alijibu akawaambia wote, Kweli mimi ''nawabatiza kwa maji;' lakini yuaja mtu mwenye nguvu kuliko mimi, ambaye mimi sistahili kuilegeza gidamu ya viatu vyake; ''yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto''
YOHANA 1:33
Wala mimi sikumjua; lakini ''yeye aliyenipeleka kubatiza kwa maji, huyo aliniambia, ''Yeye ambaye utamwona Roho akishuka na kukaa juu yake, ''huyo ndiye abatizaye kwa Roho Mtakatifu.''
.................
Ubatizo wa Yohana ni "maji" , ubatizo wa yesu ni "roho mtakatifu na moto". Kwahiyo Yohana alibatiza watu katika maji ya mto kama yordani (maji mengi) lakini yesu na wanawafunzi wake walibatiza bila maji:
Navyofahamu "ubatizo" ni neno lenye asili ya kigiriki maana yake: "kuzama mwili wote"
kwahiyo;
1) Ubatizo wa maji: kuzama katika maji mwili wote (full immersed in water)
2) Ubatizo wa moto; ulipaswa kuwa "kuzama mwili wote katika moto unaowaka"
3) Ubatizo wa roho mtakatifu ulipaswa kuwa "kumezwa mwili wote na huyu roho mtakatifu"
..............
1) ubatizo wa maji umethibiti kutumiwa na Yohana na ata Yesu amebatizwa na Yohana kwa ubatizo huo katika mto yordani pia wakristo ata sasa wanatumia ubatizo huo "tunashuhudia"
2) ubatizo wa moto haijathibiti kutumika na yeyote, mfano wa ubatizo huu ulipaswa kuwa kama Ibrahimu katika kisa cha kuchomwa moto na Nimrod kwa kosa la kuvunja masanamu yao akatoka salama bila kuungua.
3) Ubatizo wa roho mtakatifu, haijathibiti kutumika (kama maana halisi ya neno "ubatizo") ubatizo huu ulipaswa kuwa kama kisa cha nabii Yona (Yunus) kumezwa na samaki alafu kumtema akiwa hai basi roho mtakatifu katika ubatizo huu alitakiwa kuwameza watu, na kuwatema wakiwa hai.
.........
Sasa tumeona
1) Ubatizo wa Yohana -- kutumia maji (confirmed)
2) Yesu na wanafunzi wake walibatiza bila maji lakini haikuoneshwa namna walivyobatiza watu--kivipi (hidden)
3) Swali linabaki sasa kujua "ubatizo aliofundisha paulo" --ni upi ??
Rejea hoja: "ubatizo wa Yohana na ubatizo wa Yesu" swali je Paulo kafundisha ubatizo gani ? je ndugu zetu wakristo wanafuata ubatizo gani ?
View attachment 2181926
Powerfully💪💪Nadhani mtoa mada unajichanganya mwenyewe na dhana ya uislamu, Islamu maana yake ni Amani.sasa kunatofauti kati ya dini ya Amani na AMANI yenyewe. Unaposema kila aliyezaliwa alikua muislam si kwamba alisilimiswa kuwa muumini wa imani ya kiislamu. Unapaswa utambue kwamba ubatizo ulikuja kama ishara ya kumtoa mtu katika matendo maovu na kumfanya upya. Hivyo ubatizo wa Yohana ulifanyika kama ondoleo la dhambi.Huo ulikua ni Toba waliofanya wayahudi. Yesu alibatiza watu katika( moto), pamoja na watu kubatizwa na Yohana bado hawakuziacha dhambi. Ndipo Yesu alipokuja kuziteketeza kazi za shetani kupitia jina lake leo tunaona makahaba wakiacha ukahaba na kuwa watu wema wanapompokea Yesu. Ubatizo wa Roho mtakatifu,ni uvuvio na ujazo wa nguvu za kimungu ndani ya mtu. Hivyo ubatizo wa maji pekee siyo njia ya kuishinda dhambi. Unatakiwa tamaa ya dhambi ichomwe na ujae nguvu za kimungu ndipo unaweza kushinda dhambi. Hoja ya kuzaliwa muislam ni dhaifu maana,huwezi kuwa muislam bila kuslimu. Story za kuokoteza eti kila mtu huzaliwa muislam maanayake makahaba,majambazi,mafitinishi,malevi,n.k yote ni maislum.Na maandiko yako wazi. Wagalatia 5:16....., Yohana 3:18. Watu wajinsi hiyo hawataingia mbinguni. Yohana hapo inafafanua unayemkataa Yesu tayari unatiketi ya jehanamu. Hivyo waislamu wote wanaenda jehanamu maana wanamkataa Yesu,nawewe umekiri kabisa watu wote wasiokoka ni waislamu. Chagua moja kwenda motoni au uokoke na ubatizwe uwe miongoni mwao watakao ingia mbinguni.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app