Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
ndoto ya pepo mchafu kuna shetani anaye kufuata wewe aka pepo mchafu omba Mungu au fanya dua .Mkuu inamaanisha nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndoto ya pepo mchafu kuna shetani anaye kufuata wewe aka pepo mchafu omba Mungu au fanya dua .Mkuu inamaanisha nini
Utapata neemaJe ukiota unakula mahindi ya kukaangwa yatokayo kwenye ghorofa reefu kupita yote duniani kama mnara, ila anayeyateremsha haonekani zaidi ya kuona tu uwazi wa katikati ya hilo ghorofa afu unakinga kwa sufuria na kukaa chini unaanza kula?
Tafadhali msaada wa tafsiri ya hiyo ndoto Chifu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Pole sana ndugu yangu, sasa sijui tuna wito wa kuingia jeshini ama ni vipi. Maana Da! Siyo mchezoMkuu, acha kabisa. Mimi vita ndio huwa ndoto zangu, hata sielewi ni nini yani. Huwa naota vita, yaani tumevamiwa, na wanajeshi huwa wamevaa kabisa nguo za kijeshi. Wanaingia mtaani, wanaanza kusaka watu. Mi nikiwa mmoja,wao, basi tunajificha. Mara nyingine wanatuona, nikikimbia nakutana nao, risasi zinakuwa zinapigwa. Ndoto zote za vita huwa zinakuwa mida ya jioni, yani kama saa 12 hivi kuelekea saa moja maana kunakuwaga hakuna jua. Juzijuzi tu, nimeota vita tena. Ndoto imeishia nimekmbia kuwakimbia wanajeshi, kumbe nilikokimbilia ndio nikakutana nao wawili. Mmoja akanielekezea bunduki, ile anataka tu kunifyatulia nikashtuka ghafla. Nilivyoshtuka nikakuta nwili wote unatetemeka, moyo unaenda mbio.
Sijui ndoto za vita huwa zina maana gani maana kwangu hiwa zinajirudia mara kwa mara.
Ni lazima uamke Godoro limelowa[emoji2][emoji2]Je ukiota unakojoa?
Mtu anapolala kisha akaota kua, mwezi umepatwa na jua, au mwezi umekua mwekundu, au mwezi umekua mweusi, basi Njozi hiyo inakujulisha kua:Mkuu nimeota nipo mama kijijini tuna piga story vizuri tu lakini nimelala kwenye mkeka macho yangu yameelekea juu mawinguni
Naona anga la blue la usiku na nyota zake pamoja na mwezi lakini gafra nikaona jua linakamatwa na mwezi na pembeni pa hilo tukio niliona nyota 24 zikiwa zimeji panga nnenne mala 6 Yani Kama hivi
****
****
****
****
****
****
Nikiwa nashangaa hili tukio nyuma yangu Nika mwona mnyama poli anaye fanan napaa au swala alikuwa na langi ya kahawia
Nilipo mtazama vizuri niligundua nikama alijeruhiwa miguu ya nyuma na Simba huko alilo toka
Lakini nyuma ya yule paa Kama ulefu wa uwanja wa mpila nikaona Simba ambaye nahisi ndiye aliye mkosa yule paa akimkamata nguluwe pale nyumbani na kuondoka nae kwa speed
Na kilicho nishangaza zaidi nipale nilipo mwona mama akimsaidia yule paa na kizungumzia kwa lugha ambayo wanaelewana
Sasa najiuliza Nini maana ya kupatwa kwa jua nikiwa natazama?
Nini maana ya zile nyota 24 kupangika vile mbele ya macho yangu
Nini maana ya paa katika ndoto na ile maana ya kujeruhiwa miguu ya nyuma nakukimbilia pale nyumbani ili asaidiwe na akasaidiwa ?
Nanini maana ya yule Simba kumnyakua ngulue na kukimbia nae?
🙏🙏🙏
Je ukiota unakojoa?
...Mtu anapolala kisha akaota kua, mwezi umepatwa na jua, au mwezi umekua mwekundu, au mwezi umekua mweusi, basi Njozi hiyo inakujulisha kua:
"Hayo ni maharibiko katika maisha yako"
Wazungua pia wana magroup yako huko facebook ya mambo kama haya.waafrika tumefikia pabaya sana
Hiyo ni dalili kwamba kuna mtu anakuchapia mkeoNimeota ninakula, ila wali na maharage, nyama nilizikataa
Hiyo ni dalili kwamba kuna mtu anakuchapia mkeo