Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

"Na kama una silaha zote mbili yani upupu na mafuta ya moto wakati wana gaa gaa chini wamwagie mafuta ya moto, aim kwenye USO."

Hij sasa ndo perfect villain mentality 🤣
Sadist, to be more precise 😀 .

Jamaa anaweza hata mchuna mtu ngozi akiwa hai.
 
Tukisema tufanye hivi upupu utaisha huko porini... Kwenye suala la mafuta ya moto chupa ya chai haiwezi kuhimili kukaa na mafuta yaliyochemka hata dakika 3 .
Hii ya body spray itakua haipo sawa sababu hata wewe utalala pamoja na waizi alafu majirani wakija wataona lenu moja 🤣🤣
Vituko 😅😅😅
 
Back
Top Bottom