This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,198
- 5,454
Matibabu yaendane na kumwondoa nyoka na sumu yake.Kwa vile umewataja hadharani hivyo hata kama kulikuwa na wazo hilo la kuwaweka pembeni basi haitakuwa hivyo, badala yake wataendelea kuhudumu kwenye nafasi zao hizo ama nyingine za aina hiyo.
Kwanza hatuhitaji kuongeza majeraha mengine kwa sasa, kama kuna vidonda basi ni muda wa kuvitibu
Rc Ole Sanare wa Morogoro hafai kabisaKama kichwa cha habari kilivyo, Ni kwamba kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Dictator Magufuli...
Tayari washauri wameanza kaziKama kichwa cha habari kilivyo, Ni kwamba kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Dictator Magufuli...
Pumbavu hii nchi siyo yenu peke yenu.Mnawaogopa saana hao kwa kuwa ni kiboko yenu?
Mtasubili saana, bado maumivu mtayapata tu mpaka mbadili tabia.
Ndiyo hivyo. Marehemu si alisema wazi kuwa hashauriki. Huyu Mama huenda anashaurika ndiyo maana watu wameanza kutoa ushauri.Tayariiii washauri wameanza kazi
Kwa kitendo chako tu cha kuungana na mtoa mada katika kipengele cha huyo Mawaaziri wa Wizara ya Afya, kimekufanya na wewe uingie moja kwa moja katika hilo kundi la unafiki!Kwa roho hizi za chuki hata aletwe malaika ndo aongoze Taifa hili bado wapuuzi Wachache Kama huyu mleta mada watatafuta visababu uchwara ili wapate tu Cha kubwabwaja...