Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Maombolezo but lazima nchi isonge mbele,so mtoa mada yuko sahii sema tu, we ndo umejaa mahasira
Nitaachaje kuwa na hasira boss wangu kafa.
Kwani anasema awatoe eti hawaleti maendeleo mbona wako huko na maendeleo yapo. Au yeye anataka maendeleo gani
 
Rc mbeya inatakiwa anyongwe kwa kusema uongo Kabla ya kunyongwa aeleze aliongea na nani siku ile kwa simu?
 
Sasa hivi zitaanza tena zile sinema za wachawi wameanguka na ungo matukio hayo ya kushangaza yametokea leo asubuhi gongo la mboto.

Mara mama kazaa Chatu morogoro mashahidi wadai imetokea juzi usiku kwenye kijiji kimoja.

Mambo ambayo tushaanza kusahau, hao wachawi mbona awakuanguka wakati Magufuli yupo madarakani au wamama wanaojifungua chatu atujawasikia.

Yote hayo watu wauze magazeti tu, wakiambiwa waandike habari zenye ushahidi vinginevyo adhabu, ohoo anaminya uhuru wa habari.

Jitu linaamka asubuhi na kuitungia uongo serikali au mtu maarufu akiulizwa ohoo unaingilia uhuru wa habari.

Ndiyo list ya viongozi ambayo Samia atapewa awafukuze kazi, wengi ni wale ambao no nonsense kwenye maeneo yao.
 
Upo sawa tu . ingawa Ni wengi huwezi toa wote , Ila naamini rais atatumia utashi wake kuweka mambo sawa.
 
Endelea kutaja ili wafike idadi ya kuunda Coy yao ya kupambana nje ya mfumo rasmi.
 
Ila majaliwa siyo wa kuondolewa

Mwigulu hafai tena afunguliwe kesi
Judge mkuu
Mkuu wa mapolisi
Tume ya uchaguzi
Dr gwajima ahamishiwe wizara ya michezo


Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
Kabudi
 
Ole Sabaya ndo anatakiwa awe wa kwanza. Wa pili Dr Abass yule mropokaji wa serikali
 
Back
Top Bottom