Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Pumbavu hii nchi siyo yenu peke yenu.
Hali hii ndiyo inayofanya watu mnaowatenga na kuwaona hawafai, mnapopatikana na mabaya wafurahie
Halafu mnakuja na neno uzalendo
Pia nchi hii siyo ya majizi kama ninyi na mashoga kama wewe,
Tutaenzi ustaarabu na misingi thabiti ya nchi yetu
 
Mlie tu basi kwa taharifa yenu .......kasimu yupoooooooo palamagamba yupoiiioojiii na yule wa ardhiiii yupoooo hata jafoooo yupo sana hata mkiloga kati yao makamu wa rais
 
Umemsahau mpwa wa mwenda zake. Dotto James, Kuna mnywa konyagi ambae ni amekatwa mkia Waitara, kuna kijana yuko hapo Hai. Yaani wengine wana takiwa wawe wako ndani muda huu. Kwa ubadhirifu na matumiza mabaya ya madaraka
 
Mnawaogopa saana hao kwa kuwa ni kiboko yenu?

Mtasubili saana, bado maumivu mtayapata tu mpaka mbadili tabia.
Kasikilize hotuba ya Rais Mama Samia angalao utakuwa na akili kidogo na utapata angalao mwanga kidogo kujua hii Ni Tz mpya na tunaelekea wapi.Lkn kwa akili hizo za kina Msiba pole ndugu.Hiyo ngoma cheza mwenyewe.
 
Kwa roho hizi za chuki hata aletwe malaika ndo aongoze Taifa hili bado wapuuzi Wachache Kama huyu mleta mada watatafuta visababu uchwara ili wapate tu cha kubwabwaja.

Watanzania acheni unafiki, japo naungana na mleta mada kwenye point moja tu, Rais anatakiwa abadili mawaziri wa wizara ya afya, Wamejaa Maigizo sana kuliko utendaji Kazi.
Haya mchawi mwenzangu.Ila wewe unaloga kidogo tu.Nashukuru tumeungana tu wamoja.
 
Pia nchi hii siyo ya majizi kama ninyi na mashoga kama wewe,
Tutaenzi ustaarabu na misingi tahabiti ya nchi yetu
Mbona umepaniki Sana kati ya hao kwani mumeo Ni mojawapo.
 
Nafikiri , orodha imekaa sawa, ila Iyo namber moja , napendekeza amwangalie kwanza sio mbaya Sana japo juzi alidanganya, na wenda alikua anafanya vingine kuendana na bosi wake ,(marehem), so anaweza kukaa sawa Hata hivyo nashauri nafasi yake hapo kwenye list aongezewe SABAYA,LUKUVI- Huyu ana mpango wa kuchukua ardhi za watu kisa wamekosa pesa za kujenga,
 
Mfia chama CDM utamjua tuu.
Huu uzi umeuleta kimuhemuko sana.
Ndo kwanza tuko kwenye maombolezo
 
Back
Top Bottom