Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
DC wa Tabora Komanya aongezwe happy kwenye list .
Yako ni ipi? Mjinga!!Huna hoja
Wewe huishi Tz,umekuja leo.Mbona hujatoa sababu za viongozi hao kufutwa kazi?
Ya kutambua kwamba wewe ndio kiongozi wetu wajingaYako Ni ipi.Mjinga!!
Yule kijana mshenzi kabisa. Sasa hivi akili zake zinaanza kumkaa sawa baada ya kufiwa na mzee wake aliyemlea pamoja na kufanya vitu vya hovyo.Umekasahau na kale kamasai kasiko na akili kichwani! Ole Sabaya!
Kwanza aanze kumfukuza waziri wa Afya kwa kuzembea kuhimiza watanzania waache salam za kushikana mikono ambazo ndiyo husambaza corona zaidiSasa mbona kila mtu hamtaki mtu wake, itabidi Samia afumue serikali yote aitupe pembeni, atuletee Katiba Mpya ndio jambo la msingi zaidi.
Hata Mwigulu Nchemba ni wa kufukuzwa sana hafai alitumia mamlaka yake kuwatishia watanzaniaKwa roho hizi za chuki hata aletwe malaika ndo aongoze Taifa hili bado wapuuzi Wachache Kama huyu mleta mada watatafuta visababu uchwara ili wapate tu cha kubwabwaja.
Watanzania acheni unafiki, japo naungana na mleta mada kwenye point moja tu, Rais anatakiwa abadili mawaziri wa wizara ya afya, Wamejaa Maigizo sana kuliko utendaji Kazi.