Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
Hapo kwenye TANROADS hapo wafanye kweli wamejazana ndugu kwenye kazi za contracts kama huna mtu hupati hizo kazi za mikataba
 
Arudishe hospitali ya mloganzila iwe Teaching university hospital kama mwanzo.
 
mshaanza kumpangia Mama hata hajaanza kazi hizo bado, hebu ngoja tumalize msiba halafu atatuambia muelekeo upi tunafuata!!!
Siyo kila mtu anaomboleza,na siyo wote unaowaona msibani ukadhani wote wanaomboleza.Wengine wanaena msibani kuhakikisha km kweli amekufa.

Wengine Wanaendlea na mambo yao kwasababu msiba hauna impact yyte kwa maisha yao. So kwann ujishughulishe na jambo ambalo halikuhusu.
 
Shida umesikiliza kwa sikio la CHadema. Je aliposema baba amenilea. Mwalimu anaweza mzidi mwalimu Wake. Unazungumza na kusahau kuwa Rais Ni CCM
Rais akiwa CCM hapaswi kuambiwa kitu. Kwahiyo pia ukiwa chadema unatakiwa ukae kimya kwasabab Rais ni wa CCM.

Halafu kwamba nmeandika nikiwa sijui kwamba rais ni wa CCM hivyo wew unanikumbusha.
 
10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
Ummy arud afya kwa kwel
 
Umeongea kinyume baba,hao ni jeshi la mwamvuli la mama samia,
Kwani ameshawavuruga. Ndiyo utajua hujui. Unafikiri atafanya kazi na watu wote waliowekwa na Magu kwa maslahi yake.

Lazima ataunda timu yake. Kuanzia baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya nk. Hapo sijazungumzia taasis nyeti za kiusalama.

Mambo yatabadilika sana.
 
Yule Ole sabaya anatakiwa kufungwa jiwe shingoni na kutupwa bahari ya hindi
 
Hivi lile somo la historiaya Tanzania litaanza kweli maana alokua kalishikia bango ndio hivyo tena!
 
10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
18. Mkurugenzi H. Monduli( anashirikiana na mkuu wa mkoa kudhulumu hela za fidia ya mashamba huko Makuyuni)
19. RC Arusha( anadhulumu hela za fidia za mashamba ya watu huko Makuyuni)
20. DC Arusha (anawafundisha wanafunzi kucheza disco)
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
 
Back
Top Bottom