SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Jerry Muro
Yes huyu hafai kabisa
We endelea kunyoa maji yakiiisha mwambie mwantumu akuleteee hakun kitakachobadilikaPumbavu hii nchi siyo yenu peke yenu.
Hali hii ndiyo inayofanya watu mnaowatenga na kuwaona hawafai, mnapopatikana na mabaya wafurahie
Halafu mnakuja na neno uzalendo
Mi naona MH majaliwa na Dr bashiru hawana shida ,ebu niambie tatizo Lao ?Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.
Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.
Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:
1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.
Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Achana kabisa na RC Geita.10. Doto James, katibu mkuu wizara ya fedha
11. Waziri wa elimu
12. Katibu mkuu wizara ya afya
13. Mganga mkuu wa serikali
14. Dc meru
15. Dc Hai
16. Rc Geita
17. RC njombe
Ushauri watumishi wote Tanroads wachunguzwe upya, Ummy mwalimu arudishwe wizara ya afya, Angela kairuki apewe wizara, Balozi wa tanzania nchini Kuwait arudishwe nyumbani.
Ili upewe weweMkurugenzi wa mawasiliano Ikulu, Ole Sabaya na Mwenyekiti wa vyama vya siasa
Hata wewe ni mnafiki tuPolepole -CHAKUBANGA ,,,,huyu jamaa ni mnafiki first class ambae sijawahi kukutana nae maishani.
Apewe maza akoIli upewe wewe
Mengi yameshatimia na jambazi mtesaji yuko mbaroni.Mnawaogopa saana hao kwa kuwa ni kiboko yenu?
Mtasubili saana, bado maumivu mtayapata tu mpaka mbadili tabia.
Majliwa ana kasoro gani, mbona anachapa kazi sana? Wacheni wivu wa kijinga jamani.Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.
Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.
Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.
Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:
1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.
Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Yeye ni askari mtiifu. Anatekeleza majukumu yake kadri anavyotumwa.Na Sirro je??? Vipi si ndiye muongoza uovu wote???
Hata makamo wake naona aingie kwenye list.Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.