Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.

Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.

Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.

Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:

1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.

Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Aanza na tume ya uchaguzi
 
Mkuu wa mkoa wa Mwanza.
 
Duh! huyu rais anaweza kujikuta anatumia mwaka mzima tena kupanga safu upya, ila hakuna namna takataka zote ziondolewe....zile nafasi za u-DED badala ya kupewa watumishi wa umma waandamizi wakajazwa makada hadi watangazaji wa TV ambao hawajawahi kuwa watumishi wa umma, mfumo wa utumishi wa umma ulivurugwa sana..
 
Na ndiyo maana ni miaka zaidi ya sita sasa, watumishi wa umna hawajapandishwa madaraja wala kuongezewa mishahara.

Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, ilijikita zaidi katika propaganda, porojo, vitisho na uongo kwa watumishi wa umna. Katika kuboresha maisha na stahiki za wafanyakazi, atakumbukwa JK daima! Ila siyo Magufuli!!
 
Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.

Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.

Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.

Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:

1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.

Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Haitawezekana.
 
Ushauri wako atatupia kapuni...

Maana ameshasema tusiwe na chuki...
 
Mtaaanza kumgeuka huyu mama soon, unafiki wenu utakoma lini?
 
Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.

Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.

Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.

Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:

1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.

Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Tabia ya kumpangia mhe Rais kazi za kufanya ife mara moja kabla hatujachukua hatua stahiki.
 
Hivi mbona mimi sioni badiliko lolote kwenye hii serikali tofauti na kubadilika mtawala kama wengine humu? Utasikia mara Fulani afungwe, mara Fulani atoke, mara Samia afanye hivi... Wakati hata wakitoka replacement zitatoka ndani ya CCM. Me nafikiri kabla ya kujipa matumani 100%,tungesubiri kwanza Ili tuone maelekezo wa huyu mama.
 
Ushauri wako atatupia kapuni...

Maana ameshasema tusiwe na chuki...
Inaonyesha we hata mjumbe wa nyumba kumi hufai.

Kutokuwa na chuki haimaanishi wazembe wataachwa tu bila hatua.

Na hao niliowataja ndiyo watengeneza chuki,waongo nk. Fikiri nje ya box
 
Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.

Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.

Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.

Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:

1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.

Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.
Pambafu wewe. Hivi kufa magufuli ndio mnadhani mumeshinda na kukamata dola? Serikali ni ileile ya ccm na malengo ni yaleyale ya kupigania haki na maslahi ya umma. Fisadi mtaendelea kulia tu.
 
Wewe hata darasa la tatu B amekuzidi uwezo kufikiri. Mistari hiyo michache imekushinda kuelewa hoja iliyopo, mwalimu wako alipata shida. Kilaza kwelikweli.
 
Usinge onyesha chembe chembe za kibaguzi ingenoga zaidi mkuu
Kale kamasai kana Umasai mwingi sana kichwani. Kapuuzi kweli.Tena kakamatwe kaseme yale mabunduki kaliyatoa wapi na nani alikaagiza, na hilo genge lake ni wakina nani.
 
Rc wa mbeya yule chalamila inaonyesha sio mzima kichwani
 
Watu kama charami wakiwa nyuma ya pazia haifai. Emergine hadharani anafoka vile ...jamba na watu wanaodhani wao ni bora, wakifikiri ndio Wana waisrael. The chosen.
 
Back
Top Bottom