Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli.

Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache.

Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya.

Mimi napendekeza wafuatao wawekwe pembeni kabisa:

1. Kassim Majaliwa
2. DPP Biswalo
3. Mwigulu Nchemba
4. Waziri wa Afya na Naibu wake (Dorothy Gwajima & Bw. Mollel
5. RC Mbeya
6. Kamanda Mambosasa na Muroto wa Dodoma
7. Bw. Abbas (Msemaji wa Serikali)
8. Dr. Bashiru na Polepole kwa kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Tume yote ya Uchaguzi.

Unaweza kuongezea toxic figures nyingine.

Kama angalinao, basi si ajabu kuwa jahazi lake linakwenda mrama.
 
Back
Top Bottom