Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

Incompetence inaanzia na jinsi wanavyopatikana...Huwezi kuwa huru kama wewe unaishi ili umridhishe aliyekuteua badala ya wale unaotakiwa kuwatumikia, i.e public....Nchi hii tukitaka competence tuondoe uteuzi ibakie kupata promotion kwa credentials (hii inahusu Katiba)...Wengi waliokuwa promoted kasoro wale wa zamani ambao kweli walichujwa, walipata promotion kwa nepotism au kwakua sycophants so unategemea hata yeye atatafuta wenye credentials? Wanalinda siyo tu nafasi, bali hata incompetences zao ndiyo sababu hawataki kutengeneza competent teams, maana ita wa benchmark na wao wataonekana wazi walipwaya...
 
Namba 22 na namba 30 wako vzr tena nanba 30 anaipeleka vzr wizara kuliko waliopita.
 
Waziri wa kilimo mzee wa dili na anapiga 10% ya mbolea na amapiga 20% ya BBT
 
Nasikia hata alipokuwa Tanga mkuu wa wilaya; yeye ni mtu wa dili tu
 
Kwa mujibu wa katiba yetu ukishakuwa naibu au msaidizi wa ....... mfano Makamu wa rais.naibu waziri.Ras.Das n.k lawama hawana kwa sababu niwasaidizi. Na hukaimu pale boss wake anapokuwa hayupo.hivyo rudia kuandika tena
 
Kwa samia hao ni vipanga
 
Wewe
 
CCM haiwezi toa kiongozi mzuri hata iweje. kwa sababu malengo yake sio mazuri
 
Utakumbuka kuwa Jiwe aliwaondoa hawa lakini Kikwete akawarudisha na matokeo yake ndio hayo!!! Asha -Rose pale London amekaa vya kutosha mrudisheni nyumbani kwani umri nao umekwenda!!
 
Utakumbuka kuwa Jiwe aliwaondoa hawa lakini Kikwete akawarudisha na matokeo yake ndio hayo!!! Asha -Rose pale London amekaa vya kutosha mrudisheni nyumbani kwani umri nao umekwenda!!
Hata Wewe ukivaa gauni JK akikuona unapangiwa London ubalozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…