Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

Kwa RPC Songwe ume chemka.
Humjui huyu Rpv. Huyu Dada yuko vizuri mnoo. Hana makuu. Namfahamu tangu akiwa Ocs Arusha, Hadi akiwa staffone trafiki makao makuu.
Na sasa Rpc huko aliko. Kwanza ni cheo kidogo sana kwake. Ana stahili nafasi kubwa zaidi
Makongoro kaenda Rukwa juzi. Umempimaje?
Rc Arusha ana sifa zake, ume mpima kwa kigezo gani?
Makongoro Hata mkoa wa Manyara ulimshinda, alikuwa anapiga Kvant pale babati kama kawa.

Huko Rukwa mtaenda kumuokota barabarani.
 
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.

1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD 😂
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31.Ongezea hapo na Wewe ——-
32. Mh. Peno Hasegawa
 
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD [emoji23]
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31.Ongezea hapo na Wewe ——-
Ila Mabula chenga sana ujue,Jimbo la Ilemela Barabara ni mbovu balaa,Mimi naishi Lumala aisee, Barabara mvua imenyesha kidogo tu ni makaorongo kibao na yeye Wala hafanyi ziara Jimboni na DC na Mkurugenzi ni watu wa ofisini tu,kumtembelea Wananchi hakuna.
Lakini tuwe Wakweli ata Mama mwenyewe kachemka basi tu kakuta nchi yetu ni taifa la Wanafiki.
 
Hapo Namba moja umepatia kabisa! huyu Halima Dendego ni Zero kabisa. Uwezo wake wa kiuongozi ni Mdogo sana kuchwa kutwa ni kutengeneza madili yake ambayo hayazingatii Procurement na Financial controls hivyo kuwapa wakati mgumu watendaji kwani yatakuwa chanzo Cha hoja za ukaguzi.Sishangai kumbe ndo maana mwendazake alimpiga chini u- RC huyu mama alipokuwa RC Mtwara
Mwacheni Mama Maridhiano,yeye aliona Magufuli ni fala kuwaondoa ila yeye akawarudisha akiwemo na yule RC wa Morogoro aliyehamishiwa Kagera.
 
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.

1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Waziri wa ardhi : Angelina mabula eti PhD 😂
30. Waziri wa maliasili na utalii ( mkwe wa Maza).
31.Ongezea hapo na Wewe ——-
Mkuu njoo na viashiria vya wazi to prove their incompetence otherwise zitakuwa porojo kama porojo zingine.
 
Uzi wako una agenda binafsi...Ivi anakosaje Hapo Nape na Makala

Namba moja alitakiwa awe Bi TOZO mwenyewe.
 
Ili tuongeze na orodha yetu,tusaidie vipimo ulivyovitumia kuiandaa orodha hii?
 
Yawezekana wengi wetu tumekulia mfumo dume lakini nadhani si sasa kusema wanawake hawafai kuwa viongozi.
Kuna wanawake wengi tu kwenye makampuni wanafanya vema.
Changamoto walionazo uliokutana nao na wanaume pia tuna zetu kwa wanawake waliokutana na sisi.
Tusitoe majumuisho yanayotawaliwa na tamaduni zetu au historia zetu, hii si sawa.
Hivi ikitokea mwanao wa kike amekua mbunge, waziri au Raisi hutakua unatusumbua mtaani na kutuambia mtoto wangu yule.
Kuanzia leo nakuomba uthamini mtoto wa kike akiwa na mapungufu ni yeye binafsi na iwe heri mwanao na mwanangu wote wa kike wakutane bungeni 2050.
 
Katika RC ambaye ni RC Kweli ni RC mpya wa mkoa wa Mara.

Yeye Sio fisadi ni msafi Hongera sana RC
 
Back
Top Bottom