Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

We km hujalewa basi ni mwehu, RPC anateuliwa na rais? Umeweka list ulitaka wateuliwe ndugu zako? We kweli ni kenge mwenye chuki za kipuuzi
Kenge halisi ni wewe.
Nchi ni ya Watanzania wote.
Wateuliwa wanalipwa kodi zetu, tuna haki ya kuhoji utendaji na kukosoa
 
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.

1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
umemuweka mpaka RPC duuuh,kiazi kweli wewe
 
We km hujalewa basi ni mwehu, RPC anateuliwa na rais? Umeweka list ulitaka wateuliwe ndugu zako? We kweli ni kenge mwenye chuki za kipuuzi
RPC anateuliwa na IGP kwa niaba ya Amri Jeshi mkuu ambaye ni Maza.

Tatizo lako unajua kuandika Hujui kusoma.
 
Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma.

1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa
2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe
3. RPC Geita
4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake
4. Waziri wa Afya-Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio
5. Waziri wa fedha namipango
6. Waziri wa Nishati
7. Gavana wa Bank Kuu.
8. Waziri wa ujenzi na uchukuzi
9. Dc Nzega
10. Dc Ilala
11. RC dodoma
12. Katibu mwenezi wa ccm Taifa
13. Mkuu wa mkoa wa Morogoro
14. Waziri wa kilimo
15. RC Dar -Mkuu wa Mkoa Chalamila: Bia bila kelele ni sawa na juice
16. Balozi wa Tanzania- Zimbabwe, Siro, mabalozi wa Tanzania, Kuwait, Uingireza,FALME Za kiarabu, Germany, Japan
17. RC arusha
18. RC Tabora
19. RC Rukwa _ Makongoro Nyerere 20. Naibu Waziri wa mambo ya ndani
21. Naibu Waziri wa afya- Dr Mollel
22. Waziri wa katiba na Sheria
23. Waziri wa biashara na uwekezaji
24.RC Singida
25. Dc korogwe
26. Mkurugenzi mkuu wa Tanesco
28. Mkurugenzi wa TPA- bandari
29. Ongezea hapo na Wewe ——-
Anayewatua ndiye anawap dira anavyotaka kazi ifanyike. Huenda aliowateua kutokana na malengo aliyowapa anaona wanakwenda vizuri.
 
Ameingia tu benki kuu akiba yetu ya pesa za kigeni imeshuka kutoka 5.5trn hadi 4.0 trn. Na bado itashuka sana tu kama ufisadi hautadhibitiwa.
Ni nani atadhibiti ufisadi Muda huu Tanzania??
Kwa kifupi waliosoma ni wengi Tanzania, kuna haja ya kumkataa kwa nguvu zote mgombea ambaye ataletwa na ccm iwapo tunaona hatufai.

Kama anatufaa tunamkubali.

Suala la wajumbe wa ccm 1,800 kukaa dodoma kwa siku mbili na kutuletea mgombea wa kuongoza wananchi 61 milioni tulitafakari sana tunapota njia.
 
Tabora ya Mwanri ilipendeza sana

Mheshimiwa raisi tunamuhitaji Mwanri tabora, huyu mama mpeleke hata Dar kama una mpenda...
 
Hapo Namba moja umepatia kabisa! huyu Halima Dendego ni Zero kabisa. Uwezo wake wa kiuongozi ni Mdogo sana kuchwa kutwa ni kutengeneza madili yake ambayo hayazingatii Procurement na Financial controls hivyo kuwapa wakati mgumu watendaji kwani yatakuwa chanzo Cha hoja za ukaguzi.Sishangai kumbe ndo maana mwendazake alimpiga chini u- RC huyu mama alipokuwa RC Mtwara
Msimlaumu halima..kila mtu aliyerudishwa na hii serikali ya JK amewekwa ili apige. Kwani ni nini kazi ya vick kamata? Au anthony diallo? Au Hawa Ghasia?au amos makalla?
 
Back
Top Bottom