peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
- #41
JK mungu atampenda Lini Ili watanzania 60milioni wapate amani?Msimlaumu halima..kila mtu aliyerudishwa na hii serikali ya JK amewekwa ili apige. Kwani ni nini kazi ya vick kamata? Au anthony diallo? Au Hawa Ghasia?au amos makalla?