Orodha ya Vyama vya Siasa vyenye Wanachama wengi duniani (According to Wikipedia)

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
According to Wikipedia Vyama vikubwa ni
Bharatiya Janata Party BJP, Chinese Communist Party; Indian National Congress; hivyo vina wanachama zaidi ya 50 million

Between 5 to 50m CCM ipo namba Tisa ikiwa na wanachama 12 million
Democrats USA; Namba 5 (45 M)
Republican USA Namba 6 (36M)

Ukienda Wikipedia wamegawa mpaka vyama vyenye wanachama zaidi ya Milioni Moja..., Sasa sitaki kuamini kwamba CHADEMA hawana registered members zaidi ya Milioni Moja hivyo to make the record straight Erythrocyte unaweza kuwaambia jamaa wakaweka data Wikipedia ukizingatia huko ni watu wenyewe tu wanaweza wakapeleka Data....

CHADEMA haijawahi ongoza nchi.
 
Kwa rekodi za hivi karibuni CHADEMA wamefikisha wanachama milion kumi na ushee
 
Kwahio kwenye hii List CHADEMA ni Chama cha 11 au 12 kwa Wingi wa Wanachama Duniani ?
 
Kwamba idadi ya wana chama wa Republican na Democratic wanazidiana almost 10M na huaga wanabadirishana madaraka. Moral of this story:- Wana chama wa chama X sio lazima wakipigie KURA chama chao, inategemea chama kimemsimamisha nani kama mgombea
 
USA wanaochagua mshindi huwa ni independent / Undecided Voters; Ndio maana hata sasa hivi Kamara Harris na Trump wanahangaika na Swing States kuna zile states kubadilisha Chama huwa ni Nadra sana...

Kwa Bongo kwanza Practically Itikadi za vyama ni kama zile zile ndio maana Samia anaweza kuhamia Chadema na Mbowe CCM wala kusiwe na tofauti yoyote, In short kwa Bongo ni Platform tu za kupata Kura ili uende Kula...
 
Kwamba idadi ya wana chama wa Republican na Democratic wanazidiana almost 10M na huaga wanabadirishana madaraka. Moral of this story:- Wana chama wa chama X sio lazima wakipigie KURA chama chao, inategemea chama kimemsimamisha nani kama mgombea
Pia USA ushindi sio Popular Votes ni Electoral College; Ingekuwa Votes basi Al Goe, Hilary Clinton wangeshinda na wala Trump asingepaona White House
 
In recently years; only Al Goe and Hillary whom the voters decided differently, the rest, voters ndio waliamua rais wa nchi including Obama so msimamo wangu (kulingana na takwimu hizi ) bado unabaki, wanachama wa chama X sio lazima wampigie KURA mgombea wa chama chao; kama mgombea ni dhaifu watampigia wanae amini kwamba anaweza kuleta maendeleo ya nchi yao
 
In recently years; only A Goe and Hillary whom the voters decided differently, the rest, voters ndio waliamua rais wa nchi including Obama so msimamo wangu (kulingana na takwimu hizi ) bado unabaki, wanachama wa chama X sio lazima wampigie KURA mgombea wa chama chao; kama mgombea ni dhaifu watampigia wanae amini kwamba anaweza kuleta maendeleo ya nchi yao
Tofauti na Tanzania ya Sasa Vyama huwa vina Ideologies / Itikadi ambayo mtu ni ngumu kuibadilisha kwahio hauchagui watu bali unachagua values na nini Chama chako kinasimamia...

Sasa USA kuna Swing States; hizo ni kwamba sio Red au Blue per se kwahio ukibadilisha au kushinda hizo ni rahisi kuingia White House..., Kwahio hio difference ya 10M sio issue sana ukizingatia kuna States ukibadilisha tena nyingi ni winners takes all (college votes)

Tatu dunia nzima muitikio wa upigaji Kura sio kivile (registered voters sio kwamba 100 percent wote wanapiga kura) Watu duniani Hususan kipindi hiki don't bother to vote wameshaona wanasiasa ni watu waongo na wasioaminika...

1729513993245.png

https://www.census.gov/data/tables/...gistration/voting-historical-time-series.html
 
kila mtanzania ni mwana ccm hilo liko wazi kulingana na mfumo ndugu
 
Kila mtanzania alikuwa Mwana CCM kabla ya Vyama Vingi (Bila kadi ya Chama ungekosa Mengi) After Vyama Vingi hakuna ulazima hata wengine kuna kipindi walikuwa wanaficha Kadi zao (being a politician is no longer a cool thing) Ingawa hapa nadhani wanaohesabiwa ni Members na wanachama Hai ni wale wanaochangia Kadi zao...

Na hapa according to Wikipedia ni 12 M members (last Time I checked sidhani kama Tanzania tuna watu over 18, milioni 12 pekee)
 
upo sahihi kulingana na mabeberu lakini hii nayokueleza ndio uwalisia kila mtanzania ni mwana ccm mimi niko ndani naelewa nachokwambia ndugu
 
Moja Mwana CCM na Mwanachama wa CCM ni Sawa ?

Kama ni Sawa CCM wana wanachama wangapi ?, Kama sio sawa basi hapa kinachohesabiwa ni Registered Members;

Hilo la kila Mtanzania ni Mwana CCM nadhani inabidi utoe vigezo ili twende navyo (sababu huenda vigezo vyako ni kila aliyeshawahi kuvaa nguo ya Kijani ni CCM) Au kila Mkulima au Mfanyakazi (Jembe na Nyundo) ni CCM by virtue kwamba ni Chama cha Wakulima na Wafanyakazi (On Paper) ingawa practically wengine wanasema Chama cha Majambazi (Sio Maneno yangu)...
 
Back
Top Bottom