Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinazingatia Angalia Wikipedia according to Data za 2022; CCM ina 12Million na hapo ni 19 Percent ya Population ya NchiHizo statistics zimezingatia na idadi ya raia ingekuwa vizuri zaidi .
| 12 million (2022)[11] | 19% (2022) |
Mnajilisha upepoKwa rekodi za hivi karibuni CHADEMA wamefikisha wanachama milion kumi na ushee
Wikipedia
Haya mambo ya vyama na wanachama ndiyo yanaitafuna Tanzania. Nchi zilizoendelea wananchi hawakimbilii kuwa kwenye ma-vyama.Kwahio tofauti ya CHADEMA na CCM (according to Wikipedia ) ni wanachama 2M ? nisipoweka huo Ushee
Uko ndani wapi bhn .upo sahihi kulingana na mabeberu lakini hii nayokueleza ndio uwalisia kila mtanzania ni mwana ccm mimi niko ndani naelewa nachokwambia ndugu
Na hapo juu uliona nilichosema au nirudie ?Kila mtu anaweza kwenda ku edit copy and paste. Wikipedia siyo chanzo cha uhakika kufanyia marejeo.
Wikipedia is not a reliable source for citations elsewhere on Wikipedia, or as a source for copying or translating content. As a user-generated source, it can be edited by anyone at any time, and any information it contains at a particular time could be vandalism, a work in progress, or simply incorrect
Tutafika huko tu siku 1; Marekani ina zaidi ya miaka 200 waki practice multi party democracy, sisi hatujafika hata miaka 35. Vyama vitajifunza tu kwamba is not about the party, is all about the countryTofauti na Tanzania ya Sasa Vyama huwa vina Ideologies / Itikadi ambayo mtu ni ngumu kuibadilisha kwahio hauchagui watu bali unachagua values na nini Chama chako kinasimamia...
Sasa USA kuna Swing States; hizo ni kwamba sio Red au Blue per se kwahio ukibadilisha au kushinda hizo ni rahisi kuingia White House..., Kwahio hio difference ya 10M sio issue sana ukizingatia kuna States ukibadilisha tena nyingi ni winners takes all (college votes)
Tatu dunia nzima muitikio wa upigaji Kura sio kivile (registered voters sio kwamba 100 percent wote wanapiga kura) Watu duniani Hususan kipindi hiki don't bother to vote wameshaona wanasiasa ni watu waongo na wasioaminika...
View attachment 3131623
Historical Reported Voting Rates
We bro nae hua ni mpika taarifa tu,huna tofauti na mchengerwa!!! Tukemee vitu kwa kumaanisha ….Unafiki haufai kwenye kuleta uponyaji nchini kwetu.Kwa rekodi za hivi karibuni CHADEMA wamefikisha wanachama milion kumi na ushee
Naam sina shaka na unavyosema hata mwanzoni nilitoa angalizo hilo...., ila kama unavyojua wikipedia ni user generated content..., kwahio wewe kama una data za uhakika unaweza ukazipeleka na evidence zako na mimi nikiona kwamba umepotosha ni haki yangu kuzi flag na kutoa vigezo in the end we get a rough estimation.....Hizo statistics Sio za Kweli nimeangalia Mpaka kwa Vyama vyenye watu Kuanzia Laki moja 🤣🤣
Na CHADEMA haipo...
Na wakati ukichukua Viongozi wa Kila kijiji na kila kata wa Chadema Nchi nzima Ni zaidi ya Laki