Tulia. Acha Mrema akapambane kiume maana kule Segerea kunahitajika msuli. Lambert anapikwa kimkakata. A aandaliwa kimfumo kama kina Upendo Peneza na Halima Mdee! Chadema haiwezi kufanya mistake kwa maslahi ya fulani bali inajipanga kimfumo.Yaani mtu wao kashindwa kura,still wamemuweka. Demokrasia ipo wapi ?
Kwa sababu hatoki kaskaziniKwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Nakuunga mkono kwa hilo (ingawa huwa tunapishana) . Mimi ni muumini wa CDM/upinzani, lkn kwa hili la John Mrema, hapana. Kama ameshindwa kura za maoni, basi!Huyo John Mrema si alishindwa kura za maoni ?Chadema hapo ndo mnapoharibu. Kigamboni hamjaweka mgombea ?Au mmewaachia ACT?
anakubalika? anafahamika? msifanye mambo kwa ushabki!John Mrema amepewa Segerea ni vizuri, naamini huyo mdada atapewa viti maalum, wacha Mrema akapambane na CCM.
Nami sijapenda katu. Labda wampoze kwa vitit maalum. Lkn Jon Mrema atapigwa chni, sidhani kama anafahamka Segerea!Kwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Tatizo hata huyo mrema haendi kupewa Jimbo... Inamaana Ni bora kumpa CCM kuliko huyo Dada kisa hajaandaliwa?Huyu dada anaandaliwa kama kina Upendo Peneza na Catherine Ruge. Kumpa jimbo kabla hajaonekana kitaifa siyo sawa! Tulizana.
Unamaanisha nini kumpa jimbo kabla hajaonekana kitaifa sio sawa??Huyu dada anaandaliwa kama kina Upendo Peneza na Catherine Ruge. Kumpa jimbo kabla hajaonekana kitaifa siyo sawa! Tulizana.
Target ni strong cabinet ya kumshauri Mh Raisi Tundu Antipas Lissu. Yule dada anaingia viti maalum ili kupata uzoefu wa kutoshaJohn Mrema amepewa Segerea ni vizuri, naamini huyo mdada atapewa viti maalum, wacha Mrema akapambane na CCM.
Anaweza kupewa viti maalumKwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Vyama vya kihuni utavijua tu
Chama kimeshindwa kuweka wagombea nchi nzima,eti orodha ya awamu ya pili,Kuna mnaomba mikopo bodi ya mikopo?
Mbona majimbo mengi kimya?
Vyama vya kihuni utavijua tu
Chama kimeshindwa kuweka wagombea nchi nzima,eti orodha ya awamu ya pili,Kuna mnaomba mikopo bodi ya mikopo?
Cha kihuni?? subiri uone uhuni waoVyama vya kihuni utavijua tu
Chama kimeshindwa kuweka wagombea nchi nzima,eti orodha ya awamu ya pili,Kuna mnaomba mikopo bodi ya mikopo?
Nimeona like ya MzeeMwanakijiji 🤗
Bado sijaona hapa kwa msimu huu
Pongezi CDM Wagombea wenu wamepatikana bila RUSHWA. Chama tawala ondoeni wala rushwa wekeni majina ya wagombea Safi hapa.tukikutana na Akina ole sendeka,sajini,muhongo,gambo,sashisha, Ibrahim 6, priscus kimaryo,Dr mathayo David,Kimei, Adolf mkenda, shabby, Abood, kurwa biteko,nyeti ,akso tulia na wengine ,haya majina na wengine waondoeni kukusaidia chama na serikali ya awamu ya tano.