mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Tena watakata wengi tuu kwa SABABU sio Kama CDM Dada Kama huyu mpambanaji anae kubalika na wengi mnamuangusha Bila sababu, harafu mnaimba mtaiangusha CCMHata huko ccm wapo walioshinda kura za maoni lkn watatemwa
Stop contradicting yourself, don't turn and twist your argument.But we need to have a guiding principle to make our decisions; and in deciding who is to stand for contesting the constituency, opinion polls are central! are the guiding principle for that matter!
Mimi ni mkongwe wa Segerea huyo Mrema hamna kitu hapo hata kujieleza kwenyewe hajui wala hana convicing power,Mbowe amemng'ang'ania lkn hamna kitu pale unless unataka kuleta story za ukereketwa wa kikuda wa kukubaliana kila ujinga wanaofanya wakina Mbowe ambapo hapo unakua hauna tofauti yoyote ile na CCM kwa kushindwa kua mkweli kisa tu mwenyekiti amesema.Sijui wewe na wenzako mmeanza lini kufuatilia haya mambo, ni zaidi ya myajuavyo, na siku zote hayahitaji mihemko wala hasira, Mbowe na wenzake wana experience ya kutosha kwenye hayo mambo, uchaguzi wa mwaka huu ni zaidi ya mlivyozoea kabla, wacheni watu wajipange.
Atakuwa viti maalum msihofu.Yaani mtu wao kashindwa kura,still wamemuweka. Demokrasia ipo wapi ?
Kwa hesabu hizi hizi, kelele itakuwa kubwa sana pale Makonda atakapopewa nafasi ya kuwa mgombea!Nakuunga mkono kwa hilo (ingawa huwa tunapishana) . Mimi ni muumini wa CDM/upinzani, lkn kwa hili la John Mrema, hapana. Kama ameshindwa kura za maoni, basi!
Idadi ya majimbo ya Tanzania ni 264. Chadema ina weka wagonbea kwenye majimbo 163 tu.
Halafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake
Ndugulile hawezi kukatwa,kashinda kihalali.KIGAMBONI TUNASUBIRI MAKONDA NA MWENYEKITI WAKE
Yule dada mwenyewe ni mjumbe wa kamati kuu, lakini pia aligombea na viti maalumu akapita huenda akawa ameamua kumwachia Mrema nafasi hiyo yeye aende bungeni kwa mlango wa viti maalumu piaKwa Segerea chadema hamjatenda haki....yule dada anapambana sana aisee
Halafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake
Hilo ndio tatizo lililopo kwa vyama vyote vya siasa badala ya kufata wanachotaka wanachama viongozi wanaamua kwa utashi wao Tanzania siasa bado sanaYaani mtu wao kashindwa kura,still wamemuweka. Demokrasia ipo wapi ?
Maskini cdm wanatia huruma. 2015 walitufanya wajinga asilimia kubwa ya wagombea walitumika kama mtaji. Watu walipoteza mali zao kugharamia kampeni wakihadaiwa kua lowasa atatoa 30milioni ktk kila mwezi wa kampeni.
Sikujua walikua wakimaanisha nini maana hakuna pesa iliyotoka. Leo wameshtukiwa wamejaza wamama kibao.
Hilo ndio tatizo lililopo kwa vyama vyote vya siasa badala ya kufata wanachotaka wanachama viongozi wanaamua kwa utashi wao Tanzania siasa bado sana
Wabunge wasipotosha kiasi cha yeye kupata hiyo nafasi, mtakuwa hamkumtendea haki. CHADEMA acheni male chauvinism!Atachukua viti maalumu.
Nadhani watakuwa aidha wamejitoa huko kwa kuona maji marefu au wamemwachia Zitto na chama chake. Tusubiri watakuja kuliweka sawa.The kind of mistakes you would not expect CHADEMA to make..but surprise surprise!!...
Btw sijaona jimbo la Tarime na Rorya. Nadhani list haijakamilika kwa kanda ya Serengeti.