Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

Wahehe hujawaona? Kimsingi kati ya Wakurugenzi 9; Mkoa wa Iringa ulitoa theluthi. Mzena, Kitine na Mahiga. Iringa(3), Kilimanjaro (2), Ruvuma(1), Songwe(1), Morogoro(1) na Tanga(1).
Acheni ujinga.. ukabila wa nini tena jamani?
 
Mhaya, Jack Zoka amewahi kuwa naibu tu basi. Hakujawahi kuwepo DG mhaya. Nimemtaja Zoka kwa sababu yeye mwenyewe aliwahi kujitokeza hadharani kumjibu dakta Slaa enzi zake. Ila kwa mujibu wa sheria DG ndio inaruhusiwa kujulikana kwa maafisa wote wa TISS na hii ni kwa mujibu wa sheria.
Hata zile mbwembwe za 2016 kutambulishwa kwa Bob Makungu(RAS) kwamba ni naibu sijui zilitoka wapi? Amestaafu ubalozi Canada. Yuko wapi huyu mzee?
Ahhh..[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapana mkuu DGIS anajulikana, DOI anajulikana(Na huyu ndo alikua anakaimu mara nyingi DG anaposafiri)....mara nyingi DEO ndo anakua nyuma ya pazia kutokana na shughuli anazosimamia pamoja na CTO. Mkuu wa Vital Installations pia bi Giza. Chini hapo ni RS na DR wake na ma DS wanajulikana. Saivi na huyo mpya cheo cha DGIS anaruhusiwa kujulikana
 
DOI Kirefu chake?
CTO?
DEO?
RS AU RSO?
 
Hapana mkuu DGIS anajulikana, DOI anajulikana(Na huyu ndo alikua anakaimu mara nyingi DG anaposafiri)....mara nyingi DEO ndo anakua nyuma ya pazia kutokana na shughuli anazosimamia pamoja na CTO. . Chini hapo ni RS na DR wake na ma DS wanajulikana. Saivi na huyo mpya cheo cha DGIS anaruhusiwa kujulikana

Mkuu wa Vital Installations pia bi Giza
Nd nn
 
Kipilimba official title kabla hajawa Mkurugenzi ni ni alitoka kanisa la new harvest church?? Seriously??
Alikua Mshirika mwenzangu huyo, pale kanisani alikua kama mchungaji hivi baada ya mchungaji kiongozi Dondo ambaye ndie kanisa lake.

Nakumbuka alishawahi kutoa Ac 100 kwa ajili ya Kanisa.
 
Jama bora angeandika Are you happy? amekwenda kutumia maneno ya zamani yana leta sintofahamu 😆
Hahaaa, kuna bibi mmoja Mmarekani alikuwa jirani yangu, yeye anasema hana matatizo na gay people, tatizo lake wamelichukua neno gay, lililokuwa na maana ya kuwa na furaha, wakaliteka na kulibadilisha na kulipa maana mpya kabisa.

That word, in that meaning, is so quaint.

It's like reading Fitzgerald, Steinbeck or Hemingway today!
 
Usikute White naye alikuwa planted ili waweze kutekeleza adhma yao ya mauaji ya Imran kombe.

..Wakati wa vita vya Uganda Brig.Imran Hussein Kombe aliongoza brigade ya Jwtz iliyowachakaza askari wa Uganda, Libya, na PLO[Palestine Liberation Organization]. Kama tungeshindwa mapigano hayo basi njia ingekuwa nyeupe kwa majeshi ya Iddi Amin kurudi tena ktk ardhi ya Tanzania.
 
Hahahaaa.... Weka Officer huko kwenye hizo initial za mkoa na wilaya na DR ni msaidizi wa huyo wa mkoa.

Watakuja wengine kujazilizia
Ndo majibu yako
Ulikiwaga unaelekezwa darasani hivyi???
 
Back
Top Bottom