Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

Afadhali maana Kinondoni alishindwa kutatua migogoro ya ardhi kule Kata ya Mambwepande .

Alikuwa anauma maneno tu bila kuwa na maamuzi ya haki hata kama ni magumu kufanyika.
RC Makala anajitahidi lakini anawekewa vikwazo na mbunge na hao dhaifu kina DC


RC Makala anajitaidi kwa lipi ? Mla Rushwa mkubwa kwenye migogoro ya Ardhi

Hajui majukumu yake atafagia bara bara Mpaka lini
Dar ni ngumu inaitaji viongozi wenye maamuzi na misimamo hisiyoyumbishwa sio watu lege lege Kama Kherry James huko Ubungo na Goba na Kimara DC alishindwa kufanya chochote kwenye migogoro wapo wapo wanakula mishahara ya bure , Tukubali tukatae kuna umuhimu wa Mama samia kutuletea viongozi wenye maamuzi magumu Aina ya Baba keagen angalau na Stephen Masele kwa CCM wengine ni wagonga meza hawana cha kufanya

Wateule wengi wanatoka fresh from School wanajiunga vijiweni UVCCM, UWT bila Kua na experience wala ubunifu wanapata sehemu ya kupotezea muda kwa Kua hawana ajira wanasukuma gurudumu siku ziende, Nchi haisongi

Ikishindikana mh Raisi teua akili kubwa kutoka private sector wenye experience walipe vizuri wakakusaidie kuijenga Nchi
 
Hivi huyu Jokate amebakizwa kwa lipi? Huyu alikuwa active kipindi cha Magu na ni team Magu wa ukweli. Ukiangalia utendaji wake kwa sasa ni Bora liende na hayuko interested kabisa. Kaamua kujizalia mtoto wangemuacha tu alee mwanaye maana kwa sasa ndiyo muhimu. Narudia hayuko kivile kusaidia awamu ya Sita.


Wivu na roho mbaya
 
  • Thanks
Reactions: nao
1) Basila Mwanukuzi

2) Jerry Muro

3)Siriel Mchembe.

4)Gabriel Zachariah.

5)Jasinta Mboneko.

6)Mathayo Masele.

7)Zainabu Kawawa.

8)Tano Mwera.

9)Abbas Kayanda.

10)Festo Kiswaga.

11)Wilson Shimo.
Naowafahamu namba 2 na namba 4 tu
 
Nionavyo mimi ni kuwa Jokate ndo analazimisha uhusiano, maana amekuwa akimtagi sana Vunjabei, mf kwenye mtoto Vunjabei alimpa hongera, Jokate akasema usijikaushe....

Amekuwa akikanwa kwenye media ila dada yumo.

Mwisho utasikia akiomba matunzo


Unavyoandika kama una uhakika Jokate Kazaa na Vunja Bei umekomaa kabisa na story za vijiweni. Anawapatia sana nyinyi wambea kawapoteza kawavuruga hamtakaa mumjue baba wa Mtoto mnabahatisha
 
Magufuli aliwapa ukuu wilaya wale wote waliomuunga kwenye kutafta wadhamini wakumdhamini ,mfano festo kiswaga ,mnywaji mzuri wa ulanzi pale kihesa sokoni namafifi kule na alikua mwl shule fulani private zizi la ng'ombe iringa unavoelekea kalenga ,tunao wengi mno
 
1) Basila Mwanukuzi

2) Jerry Muro

3)Siriel Mchembe.

4)Gabriel Zachariah.

5)Jasinta Mboneko.

6)Mathayo Masele.

7)Zainabu Kawawa.

8)Tano Mwera.

9)Abbas Kayanda.

10)Festo Kiswaga.

11)Wilson Shimo.
Rahabu wa Manyoni

Frank mwaisumbe wa Monduli
 
NGOJA MNAODHANI WAMEKWISHA WAPEWE UWAZIRI AU NAFASI NENE ZAIDI.TUBAKI TUNAKODOLEANA MACHO NA KUZODOANA.KUVICHUKULIA KWA MAKINI VITU VYA KITANZANIA NI KUJIKOSEA ADABU.
Hao ndo wamekwisha kumwagwa hivyo!! Wakalime
 
Back
Top Bottom