Orodha ya Walipa Kodi Wakubwa 40 - Taasisi za Serikali

 

Yes, taasisi yoyote ya serikali inapofanya manunuzi inatakiwa kulipa 18% VAT. Pia inapofanya mauzo in some cases kulipa withholding tax au kodi nyinginezo.

Source: siwezi kutoa nitamwaga unga wa watu. Ila ni verfied source 100%. Hutaki unaacha lol . . . .
 
Nina mashaka na SOURCE ya mtoa mada,...disclose hyo source tujionee wenyewe...hazilipi kodi hzio,bali zinatumia kodi..
TOA SOURCE,acha ku'quote vibaya huko ulikoitoa

Source: Verified 100%. Genuine source. Siwezi kuitaja watu watamwaga unga. Hoja yako si ya kweli pia. Taasisi za serikali hata serikali yenyewe inapofanya manunuzi inalipa VAT.

Assume katika bajeti ya Trillion 11; trillion 5 zilitumika katika manunuzi ya bidhaa na huduma hapo unazungumzia VAT karibia trillion 1.
 
Mashirika ya serikali yanalipa kodi,???kwa act ipiiii,ya mwaka gani??em tupe mfano mana kwa uchache najua income tax act inayoboreshwa mara kwa mara na sijaona taasisi za serikal kulipa kodi

Yes manunuzi yote ya huduma na bidhaa wanalipa kodi ya 18% VAT. nk
 
Labda ni wanaoongoza kukusanya mapato ya serikali sio walipa kodi
 

Kuna mashirika ambayo yanazalisha na kuuza mfano magereza wana miradi mingi sana na wanauza. Lakini pia taasisi ya serikali au wizara inapofanya manunuzi inalipia 18% VAT unless uwe ni mradi unaokuwa funded na kulikuwa na makubaliano ya exemption ya kodi.
 

Mkuu umesahau wanaponunua bidhaa au huduma pia wanalipa kodi. Watoa huduma serikalini au wanaouza wanajua kuwa wanatozwa VAT. Angalia vema hiyo sheria kama serikali iko exempted au la.
 

Zinalipa 18% VAT katika manunuzi. Pia kodi nyingine.
 

Niliomba msaada wa ufafanuzi kwa wataalamu wa kodi lakini naona sasa naishia kufafanua mwenyewe. Iko hivi serikali inalipa kodi katika manunuzi ya huduma au bidhaa. Rate 18%. kama hawalipi labda itakuwa ni manunuzi ya funded project ambapo lazima tax exemption certificate itolewe.

Kuna kodi nyingine kama import duty, exercise duty, withholding tax, PAYE nk
 
Superman source yako haiko sahihi kwani mimi nina Taarifa either NMB au TBL ameshika namba moja ya kulipa kodi kubwa nchini. NMB wamepata faida ya kufa mtu na sasa hivi wanashikilia 40% ya deposits nchi nzima. Wakati mauzo ya TBL yamekuwa kwa kiwango kikubwa sana. Hiyo source haiko sahihi.
 
I can understand, bado kuna sigara, bia, migodi n.k that list is not logical...magereza wanalipa kodi gani?? ka biashara ipi??

Nitatoa list nyingine ya private companies inayohusisha baadhi ya makampuni uliyoyataja. ya sasa ni taasisi za serikali tu.

Naona wengi wameshikwa na mshangao na maswali mengi.
 
sasa Air Tanzania wanalipa kodi kwa ndege zipi walizonazo?
na TRA nao kumbe walipa kodi?

Hayo ndo maswali ya kimsingi. Je kuna manunuzi yoyote waliyoyafanya?
 
Hii list ina walakini sijaona

1. CRDB

2. Tanzania brewaries

3. Migodi ya dhahabu

4. Vodacom

5. NMB

6. Sigara

7. Cocacola

9. Pepsi

10. Azam

..............

Itafuta muda si mrefu . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…