Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifwatayo ni orodha ya walipa kodi wakubwa ikihusisha taasisi za serikali, wizara na mashirika ya serikali.
Je kama ni walipa kodi wakubwa ni nini maana yake?
Wana manunuzi mengi wanayolipia kodi?
Wana wafanyakazi wengi wanaowalipia PAYE?
Wanakusanya mapato makubwa na hivyo kulipa VAT?
Ni nini hasa maana yake? wataalamu wa kodi tusaienieni.
The list:
1 Tanzania Telecommunications Company Ltd - Ttcl
2 Tanzania Electric Supply Company Ltd - (Tanesco Ltd)
3 Tanzania Port Authority - (Tanzania Harbours Authority)
4 Tanzania Revenue Authority
5 National Housing Corporation
6 Tanzania Zambia Railway Authority - (Tazara)
7 Tanzania Post Corporation
8 National Service
9 Bank Of Tanzania
10 Parastatal Pensions Fund - (Ppf)
11 National Social Security Fund - (Nssf)
12 Tanzania Postal Bank
13 Vocational Education Training Authority - Veta
14 Dar Es Salaam Water & Sewerage Authority - (Dawasa)
15 National Insurance Corporation Tanzania Ltd - Nic (T) Ltd
16 Tanzania Investment Bank Limited - (Tanzania Investment Bank)
17 Air Tanzania Company Ltd
18 Twiga Bancorp Ltd - (National Bureau De Change Limited)
19 Police Force
20 Wizara Ya Elimu Na Utamaduni
21 Permanent Secretary Ministry Of Finance
22 Ministry Of Defence And National Services
23 Dar Es Salaam Water & Sewerage Corporation - (Dawasco)
24 Tanzania Standard Newspapers Limited
25 National Printing Company Limited
26 University Of Dar-Es-Salaam
27 Dar Es Salaam City Council
28 Muhimbili National Hospital
29 Tazama Pipelines Limited
30 President's Office - Cabinet Secretariet
31 Tanzania National Parks Ltd - Tanapa
32 Ngorongoro Conservation Area Authority
33 Tanzania National Roads Agency - (Tanroads)
34 President's Office
35 Prison Service
36 The National Health Insurance Fund
37 Tanzania Petroleum Development Corporation - Tpdc
38 Ministry Of Natural Resources And Tourism
39 Local Authorities Pensions Fund - Lapf
40 Public Service Pension Fund - Pspf
Source: Verified source
Mhhhhh,naomba kujuzwa TAASISI AMBAZO NI FULLY GOVT OWNED,AS IN HAKUNA PPP(public and private partnership) ZINALIPA KODI ????
Tangu lini,kwa Act ipi ya kodi?kwa viwango gani?em naomba msaada hapa, mtoa
mada ebu tupe source ya hayo unayosema othrwise funga thread,hakuna siri nchi hii,
Nina mashaka na SOURCE ya mtoa mada,...disclose hyo source tujionee wenyewe...hazilipi kodi hzio,bali zinatumia kodi..
TOA SOURCE,acha ku'quote vibaya huko ulikoitoa
Mashirika ya serikali yanalipa kodi,???kwa act ipiiii,ya mwaka gani??em tupe mfano mana kwa uchache najua income tax act inayoboreshwa mara kwa mara na sijaona taasisi za serikal kulipa kodi
Reasoning yako ya "ulipa kodi" ina walakin.
Wengi wa hao uliowataja hapo juu si wazalishaji mali bale NET USERS wa kodi hizo hizo wanazo lipa serikalini.
Kwa maana hiyo wanachukua fedha serikalini na kuzirudisha-hamna uzalishaji hapo!
Nilioweka kwenye RED, ndo kabisa walaji wa fedha za kodi, ingawaje wengine wanakusanya fedha na kuzi-recyle katika financial system.
Hapa dhana nzima ya kodi haiko endelevu, kukamuana mkono wa kulia na kuzipokea mkono wa kushoto!!!!
Kwa uelewa wangu till now,..kodi zinalipwa na Individuals,( watu mfano wafanyakazi thru PAYE),Business Owners(mfano weney maduka nk) na Corporates (yani makampuni madogo kwa makubwa private,au yenye ubia na serikali)..kwa viwango tofauti tofauti,hii ipo kwenye INCOME TAX ACT ya 2012(ndo latest) kama sikosei
kando ya hapo hayo mashirika tajwa huwa yanaikusanyia serikali kodi (Yani withholding payments) na kuikabidhi TRA iliyo chini ya wizra ya fedha,kisha kugawia wizara husika ili kukidhi mahitaji ya budget ya kila wizara nk,...and the cycle continues
Jamani the opposite hawa jamaa? hizi taasisi ndio hazilipi kodi (VAT) labda tuseme ni kodi ipi? kama ni PAYE naweza kukubaliana na nyinyi kwa volume ya watumishi walio nao, japo sina uhakikika iwapo hizo PAYE nazo huwa zinawasilishwa kwenye mamlaka husika (hazina) as required
Hapa naomba ufafanuzi,unamaanisha hizo taasisi ulizozitaja ndo zimelipa kodi,au wafanyakazi wa taasisi hizo wanakatwa makato ya kodi afu ndo zinatajwa kwa jina la mwajiri wao(Taasisi)?
Mlipa kodi natamani awe ni yule anayevuja jasho lake na kukatwa kodi ndiye atajwe ,badala ya usanii huu
kodi anakatwa mwingine heshima anapata mwingine.
I can understand, bado kuna sigara, bia, migodi n.k that list is not logical...magereza wanalipa kodi gani?? ka biashara ipi??
Zinalipa 18% VAT katika manunuzi. Pia kodi nyingine.