Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Mpaka naandika hapa nshafuatilua kote huko nakuona uwezo wake ni mdogo sana
 
Sijanzumgumzia heshima ya sugu kwenye muziki wa bongo fleva , nimezungumzia uwezo wa sugu kimuziki kwa kifupi jamaa ana uwezo mdogo sana
Hivi unamjua sugu rafiki kweli au unaleta utani???

Yaani mtu ana album Tisa halafu useme ana uwezo mdogo!!

Hizi hapa ni albam alizoimba sugu hebu tafuta hata moja tu halafu ndo ulete hizo porojo zako.

Album hizo ni “Ni Mimi” iliyotoka mwaka 1995, Ndani ya Bongo (1996), Niite Mr II (1998), Nje ya Bongo (1999), Millennium (2000), Muziki na Maisha (2001), Itikadi (2002), Sugu (2004), Coming of Age-Ujio Wa Umri (2006) na VETO iliyotoka mwaka 2009.
 
Boraa usemee wee.
 
Ila we jamaa unachekesha Sana bou nako ana Ngoma yake moja inaitwa MBIO ZA VIJITI...
Siku ukifika Musoma mjini halafu useme Bou Nako Hana kipaji walahi nakuapia kichwa chako kitakatwa mchana kweupeeeeeeeeee wapewe zawadi sangara wa ziwa Victoria...

Huyo Dudubaya unayesema Hana kipaji huenda wewe ndo hujui nyimbo zake na balaa zilizofanya mwanzoni mwa miaka ya 2000...

Hivi ulibahatika kusikiliza hizi ngoma Kwanza..
1. Nakupenda mpenzi
2. Nimeondoka
3. Mashaka
4. Nakupenda tu
5. Manundu
 
Na kuna Ile Ngoma Yao inaitwa 50/50

Ukitaka chochote Nani na ninoo nani na ninoo
NI fifty fifty
Da Ila bongo fleva ilikua zamani [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ngoma yuko na Ngwair, afu ndani ya wimbo kuna sauti km ya ngwair yaan km kachoka hivi, naipenda ile sauti.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Huujui mziki iko hivi kama huna kipaji hata kujilikana huwezi tu.

Kitendo cha mpka wewe kuwajua tayari ulishasikia nyimbo zao.

Ina maana wana vipaji. Acheni kudharau watu

Elewa kuwa hata Harmorapa ana kipaji cha muziki.
 
Umekosa point ya kuandika Sugu katoa 9 albums , wote tujiulize zina impact gani
Yan kwavile alianza zamani na ametoa album 9 ndo tumpe sifa ambazo hana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…