Wakati mwingi music ni flavour tu haina haja hata ya kuelewa kinachoimbwa.Mwamba anachoangalia ni kutengeneza vina tu hata kama anachoimba hakieleweki[emoji3][emoji3]
😀😀😀Toka TZ A, TZ B mpaka C, sina hana TAXI.
Jamaa kwa harakati za music tunampa heshima yake .lakini tukibaki kwenye ukweli ni kuwa hana kipaji cha music..
Ndo maana hajapewa heshima ya Godfather wa bongo fleva ila proffessor jay kapewa
We fala kuwa na adabu, Nije ntafute attention huku ambako hatufahamiani?Haka kapumbavu kanatafuta tu attention huku, hakuna ka
Huyu dogo kaja kutafuta attention tu huku, anataka aonekane uzi wake una pages nyingi jinga sana.
Acha ufala bwege ww, naweza nkakutajia nnapokaa ukaja , ukaondoka kwa aibuHuyu jamaa ni tahira wala usibishane nae yeye kambatiza 2 proud kua too proud
.Halafu anasema sugu Hana kipaji [emoji52] huyu jamaa tungeishi mtaa mmoja ningemfanya kitu kibaya Sana bahati yake tu jf hatujuani
Bwege mwenyeweAcha ufala bwege ww, naweza nkakutajia nnapokaa ukaja , ukaondoka kwa aibu
Sasa kuchaa verse tatu + kuchana bila kuchoka ndo kifanya mtu aonekane ana kipaji?We hujui mziki aisee.
Sugu huyu huyu anaeimba verses zote 3 na korasi peke yake hana kipaji?
Na hata live anachana tu bila kuchoka unasema hajui mziki? Dah
Ujaona vipaji vyao kwanKwanini niwe na chuki ?
Nje ya muziki anaitwa Joseph Mbilinyi, sasa ukimuita Sugu(jina la sanaa yake) utasemaje hana kipaji, na wakati hapo alipofika sasa ni kwasababu ya sanaa. Labda useme kipaji ni nini?Mkuu nje ya Music Sugu nampa heshima kubwa
Taja hit song mbili za Maalim Nash, Nikki Mbishi, Grace Matata? Kwamba kuwa na hit song ndio mtu ana kipaji, ni tafsiri potofu kabisa. Ndio maana nimeomba uelezee yafsiri ya mtu kuwa kuwa na kipaji...Ntajie hitsong tano za Jaffarai
Nilimua ku base na wakongwe coz hawa wamekaa muda mrefu kwenye game , kiasi cha kuniridhisha kuwa hawana vipaji ila walipata bahati kutoka kipindi hicho ambacho wasanii walikua wachacheKwa kalapina hapana, mwamba anajua saaana
Halafu mbona umeandika wa kizazi kilichopita?? Una maanisha hawa walamba midomo wabana pua ndo wanavipaji au
Kumlinganisha Sugu na Lunya si sahihi kabisa. Kasikilize hizi album za Sugu toka akiitwa 2Proud.mr II AKA sugu amna kitu aisee yule ni kama young lunya kujisifia tu taita