SUKAH
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 1,753
- 1,968
Wakati mwingi music ni flavour tu haina haja hata ya kuelewa kinachoimbwa.Mwamba anachoangalia ni kutengeneza vina tu hata kama anachoimba hakieleweki[emoji3][emoji3]
Tumesikiliza nyimbo za wakongo hata tulikuwa hatuelewi but we were enjoying, tukapunguza stress.