Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Sugu [emoji777]
Temba [emoji777]
Kalapina [emoji3581]

Mleta mada ni Mtoto wa juzi.
 
Jamaa kwa harakati za music tunampa heshima yake .lakini tukibaki kwenye ukweli ni kuwa hana kipaji cha music..
Ndo maana hajapewa heshima ya Godfather wa bongo fleva ila proffessor jay kapewa

ninachoona wewe unatoa mtazamo wako hivyo unaweza kuwa sahihi. Hatahivyo unatakiwa pia ukubali mitazamo ya wengine na ndio maana umetoa orodha ya wasanii wengi walio wengi ni kama wamekubaliana nayo, lakini majority wanakataa kumweka Temba na Sugu kwenye hiyo orodha.

Kwani unavyoongelea sijui flow unamaanisha nini.
Binafsi kwenye kutiririka namwelewa sana Sugu kuliko hata hao wakali unaowakubali, chukulia wimbo kama Mambo ya fedha, Dar DSM akiwa na Balozi, Sugu nk
 
Haka kapumbavu kanatafuta tu attention huku, hakuna ka

Huyu dogo kaja kutafuta attention tu huku, anataka aonekane uzi wake una pages nyingi jinga sana.
We fala kuwa na adabu, Nije ntafute attention huku ambako hatufahamiani?

Kwa hizi akili zako nenda tiktok ukacheze na dada zako , huku hapakufai
 
Huyu jamaa ni tahira wala usibishane nae yeye kambatiza 2 proud kua too proud

.Halafu anasema sugu Hana kipaji [emoji52] huyu jamaa tungeishi mtaa mmoja ningemfanya kitu kibaya Sana bahati yake tu jf hatujuani
Acha ufala bwege ww, naweza nkakutajia nnapokaa ukaja , ukaondoka kwa aibu
 
We hujui mziki aisee.
Sugu huyu huyu anaeimba verses zote 3 na korasi peke yake hana kipaji?

Na hata live anachana tu bila kuchoka unasema hajui mziki? Dah
Sasa kuchaa verse tatu + kuchana bila kuchoka ndo kifanya mtu aonekane ana kipaji?
 
Kwa kalapina hapana, mwamba anajua saaana
Halafu mbona umeandika wa kizazi kilichopita?? Una maanisha hawa walamba midomo wabana pua ndo wanavipaji au
 
Mkuu nje ya Music Sugu nampa heshima kubwa
Nje ya muziki anaitwa Joseph Mbilinyi, sasa ukimuita Sugu(jina la sanaa yake) utasemaje hana kipaji, na wakati hapo alipofika sasa ni kwasababu ya sanaa. Labda useme kipaji ni nini?
 
Ntajie hitsong tano za Jaffarai
Taja hit song mbili za Maalim Nash, Nikki Mbishi, Grace Matata? Kwamba kuwa na hit song ndio mtu ana kipaji, ni tafsiri potofu kabisa. Ndio maana nimeomba uelezee yafsiri ya mtu kuwa kuwa na kipaji...
 
Kwa kalapina hapana, mwamba anajua saaana
Halafu mbona umeandika wa kizazi kilichopita?? Una maanisha hawa walamba midomo wabana pua ndo wanavipaji au
Nilimua ku base na wakongwe coz hawa wamekaa muda mrefu kwenye game , kiasi cha kuniridhisha kuwa hawana vipaji ila walipata bahati kutoka kipindi hicho ambacho wasanii walikua wachache
 
mr II AKA sugu amna kitu aisee yule ni kama young lunya kujisifia tu taita
Kumlinganisha Sugu na Lunya si sahihi kabisa. Kasikilize hizi album za Sugu toka akiitwa 2Proud.
  • Ni Mimi (1995)
  • Ndani ya Bongo (1996)
  • Niite Mister II (1998)
  • Nje ya Bongo (1999)
  • Millennium (2000)
  • Muziki na Maisha (2001)
  • Itikadi (2002)
  • Sugu (2004)
  • Coming of Age-Ujio Wa Umri (2006)
  • VETO (2009)
  • Antivirus Mixtapes
 
Back
Top Bottom