Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Dogo janja na Harmonize sijawahi kuwaelewa kabisa.
 
Kwan talent(kipaji) ni nin ebu tupe maana yake wewe unaejua.
 
Wapo wengi sana
1-Benjamin wa mambo jambo
2-Bwana misosi
3-pingu na denso
4-dark master
5-kali p
6-mrisho mpoto
7-chege
8-shilole
9-baba levo
10-masawe mtata
11-H baba
12-harmo rapa
13-queen darline
14-crazy gk
15-bonge la nyau
16-baby madaha
17-snura
18-top c
Aisee list ni ndefu
 
1.Baba levo(Anapiga kelele nyingi)
2.Niki wa pili na Kaka yake johmakin(Hawa hawana kipaji ila wanabebwa kwakua wana connection kwenye kundi lao la weusi anaejua ni G warawara tu )
3.Darasa ( huyu aliotea maisha na mziki Basi Hadi leo anaimba kwa staili ileile ni kama anarudia nyimbo moja kila siku)
4.Best naso
5.Abdu kiba
6.Wakazi
7.Hbaba
 
Bibi cheka ni marehem sahiv man
 
Mkuu kwaweli list ni ndefu sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiukweli temba hana kipaji kabisa. Nyimbo zake alikuwa anaongea ongea tu maneno hovyo na wimbo wake uliompa umaarufu zaidi nd aliongea pumba vibaya mno( ule nampenda yeye). Lakini pia nyimbo we nd mchizi wangu remix yeye alionekana kabisa kuwa sio rapper tofauti na wenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…