Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

Shukrani mkuu
Unajua watu hapa wanajibu kwa mihemko tuu lakini hawa nliowataja ukiwafuatilia kwa makini utagundua hawana talent
 
Darasa kweli,Inaonekana we unapenda sana ngoma za asili

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
....... kwa maoni yangu, binafsi nakubaliana na wewe kwa upande mmoja na upande mwingine sikubaliani na wewe kutokana na yafuatayo........
......1. hujaweka kigezo ulichotumia kutambua msanii mwenye kipaji na asiye na kipaji, hii inapelekea kutokea kwa sababu zingine hapa chini........
......2.Hapo juumeshindwa kuwatambua wasanii wasio na kipaji, hivyo umechanganya wengi wenye kipaji na wachache wasio na kipaji cha muziki.....
......3.Umeshindwa kutambua nafasi ya muda(kipindi cha kuwa kwenye peak Kwa msanii), hii imepelekea wewe kudhani kuwa hawana kipaji, ipo siku utasema lucky dube hana kipaji coz reggae haisikiki sasaiv....
.......4.Wasanii wote uliowaweka hapo ni wa zamani, hivyo inaondoa uhalali wa wewe kumjaji kuwa hana kipaji, ungeweka walau hata wasanii wa sasa tungeweza kupata uhalisia kidogo wa kile ulichopresent........
....... Conclusion: Upo uwezekano kwamba umetumia hisia zaidi za kishabiki, kwa kutaka kuponda baadhi ya wasanii ambao huwa wanashindanishwa na wasanii ambao wewe ndo unawakubali.......
 
Kwenye hii list yako kuanza number 4 nakuabaliana na ww
 
Wewe wa 2017 utamwelewa wapi Sugu alikuepo tangu 1995 ? Eti kijana unanielewa kweli?
Kukaa muda mrefu kwenyw game sio hoja kabisa
Hoja ni je ana uwezo?
 
Mwaka wa shetan ilikuwa mwaka gani!?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hayo ni mawazo yako nayaheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…