Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Tatizo siku ukiondoka wewe mlipakodi hao utakaowaacha unahisi wataishi kwa taabu kiasi gani?
 
Huu Uzi umejah majungu tu,uko sahih popoma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapa hajasema watu wajenge wala hajashauri lolote kuhusu ujenzi.

Kutaja watu wasiojenga ni sawa na kutaja kinyume, yaani waliojenga.

Ama kutaja wasiojenga ni sawa na kutaja majina ya Marais wa Afrika kwa kujifurahisha ama kukumbushana tu, kunakuwa na ubaya gani?

Lakini mkuu lazima pia uelewe kuwa jambo lolote lililomo katika jiografia ya maisha yako, mfano: jirani, milima, mito, wezi, watoto, shule, kanisa, ofisi za serikali nk nk, yaani mtu yeyote, kitu chochote ama jambo lolote lililo kwe mzunguko wa maisha yako linakuhusu kimazingira hata kama hautaki.
 
Tunakumbushana tu kupanga ni kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…