King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hiyo bar unaijua? Si ilikuwa pale sinza lion?
Lion napajua ila bar yake siijui, nilikuwa naisikia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bar unaijua? Si ilikuwa pale sinza lion?
Tatizo siku ukiondoka wewe mlipakodi hao utakaowaacha unahisi wataishi kwa taabu kiasi gani?Yaani mtu akijenga anaona usiye na nyumba huna maisha wala maendeleo, wakati Najimudu kupanga na kulipia kodi nyumba ya hadhi zaidi ya ile anayoishi yeye
Naamini kila mtu ana kipaumbele kipimo chake cha mafanikio, kikubwa Namudu majukumu yangu na nina amani
Wao wanakuhusu nn na ushakufa?Tatizo siku ukiondoka wewe mlipakodi hao utakaowaacha unahisi wataishi kwa taabu kiasi gani?
Huu Uzi umejah majungu tu,uko sahih popomaHuu Uzi wako ungenoga zaidi baada ya kumaliza Kuwananga na Kuwacheka Wenzako na Wewe hapo chini ungetuwekea idadi ya Nyumba zako unazozimiliki na alizojenga Baba yako Mzazi.
Otherwise unaonekana ni Mswahili, mpenda Majungu, una Chuki Binafsi, mwenye Wivu na Ujuha mwingi Kichwani mwako.
Daah huo ni uselfish ndugu, kama una nafasi wapambanie watakushukuru ukishaondoka, na dua watakuombea huko uliko man.Wao wanakuhusu nn na ushakufa?
Chilo ja jb wapo tbt wamepanga. JB Mungu masaidie, mke wake kibopa sanaMzee Chilo hana nyumba kuna kipindi alikuwa analala sebuleni kwa shemeji yake. JB vipi.
Hapa hajasema watu wajenge wala hajashauri lolote kuhusu ujenzi.Kama kujenga ni uamuzi wa mtu kwa nini uwekwe kwenye orodha, yaani maamuzi yangu yanawahusu nini? Kwa nini uhangaike kujua kama sikujenga ama nilijenga?
Nadhani watu tuache maisha ya kiswahili ya kufuatiliana, ishi maisha yako, sikujenga ama nilijenga is non of your business.
Kula maisha achana na Mambo ya kesho. Wazee wetu wengi walikula maisha na tume-fight wenyewe.Daah huo ni uselfish ndugu, kama una nafasi wapambanie watakushukuru ukishaondoka, na dua watakuombea huko uliko man.
YesHapo namba 8 umemaanisha Manara ama?
Wewe ushajengaKwanza inakujae mwanaume unaishi kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio. Vijana mkaze mjenge
Tunakumbushana tu kupanga ni kuchaguaKama kujenga ni uamuzi wa mtu kwa nini uwekwe kwenye orodha, yaani maamuzi yangu yanawahusu nini? Kwa nini uhangaike kujua kama sikujenga ama nilijenga?
Nadhani watu tuache maisha ya kiswahili ya kufuatiliana, ishi maisha yako, sikujenga ama nilijenga is non of your business.
Mzee chilo hana nyumba kweliChilo ja jb wapo tbt wamepanga. JB Mungu masaidie, mke wake kibopa sana
Acha hizo kujenga ni muhimu ndoa ndo sio muhimu ni kwaajili ya kumnufaisha mwanamkebaada ya ile kampeni ya "kataaa ndoa" kwenda kwa mafanikio, sasa kuna haja ya kuanzisha kampeni ya "kataa kujenga, nyumba za kupanga zinatosha".
mnaonaje wadau?.
Wee faler sana dah nimecheka 🤣🤣🤣🤣Hakuna haja tutaagia kanisani
Ni kweli anaishi kwa mama yake?Yaan nimetoka kukutana na Ray sasa hivi hapo kwa maza ake Mori...nimecheka sana baada ya kuuona huu uzi