Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Huu Uzi wako ungenoga zaidi baada ya kumaliza Kuwananga na Kuwacheka Wenzako na Wewe hapo chini ungetuwekea idadi ya Nyumba zako unazozimiliki na alizojenga Baba yako Mzazi.

Otherwise unaonekana ni Mswahili, mpenda Majungu, una Chuki Binafsi, mwenye Wivu na Ujuha mwingi Kichwani mwako.
Popoma Genta Hama kwa shemeji yako, unambana dada yako asile Raha vema. Mkubwa kajenge wewe
 
Demba wwee tujaze tujazike,haya bhana,Muhudumu lete Bia Kama kawaida, wengine tunasubiri hadi Cement ishuke bei hadi 5000 kwa mfuko ndiyo tuanze hayo Mambo ya ujenzi!!
Kunywa bia, duniani tunapita tu 😂😂😂
 
Wakati mwingine hakuna faida ya kujenga,kama una pa kuishi hadi umauti ukukute.Sema huo ni ubinafsi kama una familia tayari.Maana ikitokea ukafa familia itaishi wapi ?
Mimi binafsi napenda niishi mahali pazuri na pasafi. Nyumba nzuri yenye choo na bafu zuri, vile vile kitanda kizuri na jikoni kuzuri.

Nikihitaji vyumba vitatu ni ghali sana, naumia kulipa kodi everyday lakini nikiwa na budget nzuri najenga kwangu kwa uhuru wote nakaa.

Ni ishu ya priority.
 
Watu hawafanyii misiba kwao kwasababu ya vijicho na husda. Watu washapoteza kazi kisa watu wemeona mijengo yao na kupeleka majungu makazini.
Misiba inapelekwa kwa ndugu buguruni huko mpate cha kusema.
Labda sio mhaya
 
Back
Top Bottom