Mbwa kala mbwaa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 218
- 389
Popoma Genta Hama kwa shemeji yako, unambana dada yako asile Raha vema. Mkubwa kajenge weweHuu Uzi wako ungenoga zaidi baada ya kumaliza Kuwananga na Kuwacheka Wenzako na Wewe hapo chini ungetuwekea idadi ya Nyumba zako unazozimiliki na alizojenga Baba yako Mzazi.
Otherwise unaonekana ni Mswahili, mpenda Majungu, una Chuki Binafsi, mwenye Wivu na Ujuha mwingi Kichwani mwako.