Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Kila munu ave na kwao.
Hicho ndio kilimkuta gavana Rutihinda
Kwao alipapotezea kabisa akaishia kuzikwa buguruni
 
Ukiona nchini kuna nyumba (sio kaburi) yenye jina la Ruge Mutahaba niite mbwa nimekaa pale
 
I.Timoth Apiyo huyu alikuwa KATIBU MKUU ofisi ya Rais Enzi ya Nyerere huyu alizikwa Musoma ila hakuwahi kuboresha nyumba ya Wazazi wake ilibidi Serkali ijenge nyumba haraka na kuuwekea Umeme kabla mwili wa marehemu kupelekwa kwa mazishi
 
Pants down kwa Nape, amepambana kivyake na sasa uchungu wa kutojenga (kama kweli) kwa baba yake hata hakumsumbui.
 
Pants down kwa Nape, amepambana kivyake na sasa uchungu wa kutojenga (kama kweli) kwa baba yake hata hakumsumbui.
Ishu ya babake kutojenga ni kweli,alikula bata akajisahau
Hajapambana kivyake amebebwa na akina Makamba,Kinana na Kikwete kuanzia masomo chuo kikuu India mpaka kwenye siasa,hao ndio marafiki wa baba yake tangu jeshini na kwenye chama,mzee wake anafariki Nape ndio ametoka kunakiza form six,huwezi kuzungukwa na hoyo mijamaa ukafa njaa mjini
 
I.Timoth Apiyo huyu alikuwa KATIBU MKUU ofisi ya Rais Enzi ya Nyerere huyu alizikwa Musoma ila hakuwahi kuboresha nyumba ya Wazazi wake ilibidi Serkali ijenge nyumba haraka na kuuwekea Umeme kabla mwili wa marehemu kupelekwa kwa mazishi
Sijui wanakuwa wanawaza nini ,huku mitaani wapo kibao hawajajenga na uwezo wanao
 
PUMBAVUUUU ( in vicent kigosi voice )
 
Sasa kama mtu hana hata banda na alikuwa gavana, unamteteaje?
What if alikuwa na uwezo wa kulipia apartment rent hadi anakufa..na ana businesses zake za kumuingizia kipato bila matatizo. Kuna watu nawafahamu Bongo hii hawana nyumba za kuishi ila wanamiliki hadi Viwanda na kuna wengine wana nyumba ila hawazitumii ni strictly for business. Wengi msichokielewa ni kwamba suala la kujenga na kumiliki nyumba sio lazima sanaa kama mlivyokariri chenye ulazima ni mtu kuwa na kipato wakati wote wa maisha yako. Dunia ya leo mambo yamebadilika mnoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…