mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #521
Kila munu ave na kwao.Kuna wengine wana magorofa mijini lakini kwao hata kibanda cha kuku hawana,inakuwa aibu kwa ndugu na jamaa pale Israel akisha mwita sasa ile tumpeleke tumpeleke kijijini wanakuta mwembe tu, mwishowe inakuwa usumbufu kwa waliomleta wanakosa hata pa kwenda haja. Kujenga nyumbani ni muhimu na lazima ili kuepusha familia kuonekana haina kwao, sisi ni Waafrika bana kila mtu ave na kwao( sauti ya mwimbaji marehemu Tongolani wa bendi ya Mwenge Stars iliyokuwa Monduli alikuwa chinga)
Hicho ndio kilimkuta gavana Rutihinda
Kwao alipapotezea kabisa akaishia kuzikwa buguruni