Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Utakufa bila kufunga macho wewe
Acha ujinga.walojenga hizo nyumba zinawasaidia nini huko kaburini?wangezikwa kwenye nyumba zao basi?? Tena wengine nyumba zao zilishauzwa tena bei chee tu na watu wakala hela wakapita hivi
Uliwahi kuhudhuria msiba wa marehemu aliyeacha mke na watoto kadhaa nyumba ya kupanga ukaona mke anavyogalagala kwa uchungu
 
Kama kujenga ni uamuzi wa mtu kwa nini uwekwe kwenye orodha, yaani maamuzi yangu yanawahusu nini? Kwa nini uhangaike kujua kama sikujenga ama nilijenga?

Nadhani watu tuache maisha ya kiswahili ya kufuatiliana, ishi maisha yako, sikujenga ama nilijenga is non of your business.
 
Ray acha makasiriko umri km huo sio wa kukaa kwa dingi yako acha ufala😂😂
 
 
Huu Uzi wako ungenoga zaidi baada ya kumaliza Kuwananga na Kuwacheka Wenzako na Wewe hapo chini ungetuwekea idadi ya Nyumba zako unazozimiliki na alizojenga Baba yako Mzazi.

Otherwise unaonekana ni Mswahili, mpenda Majungu, una Chuki Binafsi, mwenye Wivu na Ujuha mwingi Kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…