Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Humu siku hizi watoto ni wengi sana wasikusumbue akili pia watu wenye stress.

Mada hii ingeletwa hapa 2013/16 comments za kitoto toto usingeziona humu,hakuna mwanaume kamili anayetafuta hela na ana familia aseme kwa sababu duniani tunapita basi hakuna haja ya kujenga
Uko sahihi kabisa ,JF ya sasa ina vitoto vimeshift toka Facebook taabu tupu,mtu useme duniani tunapita wakati unaishi nyumba aliyojenga mwenzako,si ukakae mapangoni
 
Aisee Omari Juma hakuwa na makazi?🙄
Ni uongo uliokithiri.

Dr. Omar alikuwa Mkurugenzi Mifugo, baadae KM Kilimo, Waziri Kiongozi Zanzibar na ndiyo Makamu wa Rais, Bara.
Alikuwa na nyumba yake maeneo ya Mpendae (ya kawaida siyo ghorofa). Kwa hivyo ukisema hakuwa na nyumba siyo kweli, na hasa zile enzi zake hakukuwa na mambo ya kuchota fedha za serikali kwa hivyo alijenga kwa uwezo wa kipato chake.
 
Ile nyumba ya mpendae kweli ni ya VP aliyekaa madarakani miaka sita,kabla ya hapo alikuwa waziri kiongozi zanzibar
Kwa miaka saba,mshahara wake tu bila kuiba alitakiwa kuwa na nyumba bara na kwao sio ile banda choo cha shimo
Yaani ile ni hadhi ya servant quarter
,huku bara hakuwa na mji,familia yake ilitolewa kwa nguvu kwenye ile nyumba ya VP.
 
Kujenga kuna raha yake aisee asikuambie mtu. Kama mtu ana uwezo namshauri ajenge kwanza, mbona bata zipo tu. Maisha hayatabiriki haya. Kama una nyumba hata mambo yakiwa magumu at least una pa kuishi , hela ya kula haitakupiga chenga. Nashukuru Mungu nimejenga na mwenzangu naye kajenga.
 
1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali

2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.

3.Brigedia Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Aliwahi kuwa brigedia jeshini,Naibu Waziri ulinzi,Mkuu wa wilaya Bagamoyo,mkuu w mkoa Singida,mhamasishaji wa CCM,Katibu mwenezi CCM,naibu katibu mkuu CCM Nk

4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.

Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.

5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk

6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi

7.

Itaendelea
sasa Ray the greatest anakwama wapi da nimecheka kwa sauti watu wamenishangaa, na yule dokta profesa akagoma kuachia mjengo wa serikali.
 
Ni uongo uliokithiri.

Dr. Omar alikuwa Mkurugenzi Mifugo, baadae KM Kilimo, Waziri Kiongozi Zanzibar na ndiyo Makamu wa Rais, Bara.
Alikuwa na nyumba yake maeneo ya Mpendae (ya kawaida siyo ghorofa). Kwa hivyo ukisema hakuwa na nyumba siyo kweli, na hasa zile enzi zake hakukuwa na mambo ya kuchota fedha za serikali kwa hivyo alijenga kwa uwezo wa kipato chake.
Kwa hyo Kwa kipato chake Kwa nafasi nyeti alishindwa kujenga nyumba ya hadhi yake?.
 
Kuna wengine wana magorofa mijini lakini kwao hata kibanda cha kuku hawana,inakuwa aibu kwa ndugu na jamaa pale Israel akisha mwita sasa ile tumpeleke tumpeleke kijijini wanakuta mwembe tu, mwishowe inakuwa usumbufu kwa waliomleta wanakosa hata pa kwenda haja. Kujenga nyumbani ni muhimu na lazima ili kuepusha familia kuonekana haina kwao, sisi ni Waafrika bana kila mtu ave na kwao( sauti ya mwimbaji marehemu Tongolani wa bendi ya Mwenge Stars iliyokuwa Monduli alikuwa chinga)
Yeah hii kafanya uncle wangu pia kigogo mkubwa anacheo kikubwa sana jeshini lakini kwao kijijini hata choo shida sijui watao mleta siku amekata moto watajisaidi wapi [emoji51]
 
Back
Top Bottom