Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNAJENGA NYUMBA TETEMEKO LIKIPITA IKAANGUKA? KULA BIA WEWE
Hakuwa na mke wala mtoto wala nyumba,kampuni ilikufa mwaka mmoja baadae,magari yaliuzwa mama akachezea viccoba,hakuna kitu kinachoexist kinachoonyesha kuwa kanumba aliwahi kuishi zaidi ya kaburi lake na filamu zakeDah! hivi kumbe kanumba akuwa na mtoto
Duuuhhh1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3.Brigedia Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Aliwahi kuwa brigedia jeshini,Naibu Waziri ulinzi,Mkuu wa wilaya Bagamoyo,mkuu w mkoa Singida,mhamasishaji wa CCM,Katibu mwenezi CCM,naibu katibu mkuu CCM Nk
4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.
Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi
7.
Itaendelea
Mbona misiba haikufanyika kwenye nyumba zao?
Mzigo wako wa uhakikaKujenga kuna raha yake aisee asikuambie mtu. Kama mtu ana uwezo namshauri ajenge kwanza, mbona bata zipo tu. Maisha hayatabiriki haya. Kama una nyumba hata mambo yakiwa magumu at least una pa kuishi , hela ya kula haitakupiga chenga. Nashukuru Mungu nimejenga na mwenzangu naye kajenga.
Nyie watu vipi? Yaani niache kula Bata ninunue michanga?!Hakuna cha priority bana ...nyumba muhimu sana[emoji26]
Wenyewe wanasema "mwenye nyumba kobe tu"Unajenga ili iweje?
Labda naye anakaribia kufariki.Ray kigosi anahusika vipi hapo? [emoji23][emoji23]
Mbona nasikia huyo jamaa ni raia wa Marekani hivi sasa!Mapete na micheni anakufa kibudu
Wengine ukishajenganao wanakutoa roho...yanini Sasa kujenga1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3.Brigedia Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
Aliwahi kuwa brigedia jeshini,Naibu Waziri ulinzi,Mkuu wa wilaya Bagamoyo,mkuu w mkoa Singida,mhamasishaji wa CCM,Katibu mwenezi CCM,naibu katibu mkuu CCM Nk
4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.
Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi
7.
Itaendelea
Ndio hapo sasa, unapanda miti ya kudumu kwenye shamba la watu, kama sio uwendawazimu ni nini?Serikali kila siku inakuambia ardhi ni yake we kiherehere cha kuijengea unakitoa wapi
Mzigo gani?Mzigo wako wa uhakika