Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

Uko sahihi kabisa ,JF ya sasa ina vitoto vimeshift toka Facebook taabu tupu,mtu useme duniani tunapita wakati unaishi nyumba aliyojenga mwenzako,si ukakae mapangoni
 
Aisee Omari Juma hakuwa na makazi?🙄
Ni uongo uliokithiri.

Dr. Omar alikuwa Mkurugenzi Mifugo, baadae KM Kilimo, Waziri Kiongozi Zanzibar na ndiyo Makamu wa Rais, Bara.
Alikuwa na nyumba yake maeneo ya Mpendae (ya kawaida siyo ghorofa). Kwa hivyo ukisema hakuwa na nyumba siyo kweli, na hasa zile enzi zake hakukuwa na mambo ya kuchota fedha za serikali kwa hivyo alijenga kwa uwezo wa kipato chake.
 
Ile nyumba ya mpendae kweli ni ya VP aliyekaa madarakani miaka sita,kabla ya hapo alikuwa waziri kiongozi zanzibar
Kwa miaka saba,mshahara wake tu bila kuiba alitakiwa kuwa na nyumba bara na kwao sio ile banda choo cha shimo
Yaani ile ni hadhi ya servant quarter
,huku bara hakuwa na mji,familia yake ilitolewa kwa nguvu kwenye ile nyumba ya VP.
 
Kujenga kuna raha yake aisee asikuambie mtu. Kama mtu ana uwezo namshauri ajenge kwanza, mbona bata zipo tu. Maisha hayatabiriki haya. Kama una nyumba hata mambo yakiwa magumu at least una pa kuishi , hela ya kula haitakupiga chenga. Nashukuru Mungu nimejenga na mwenzangu naye kajenga.
 
sasa Ray the greatest anakwama wapi da nimecheka kwa sauti watu wamenishangaa, na yule dokta profesa akagoma kuachia mjengo wa serikali.
 
sasa Ray the greatest anakwama wapi da nimecheka kwa sauti watu wamenishangaa, na yule dokta profesa akagoma kuachia mjengo wa serikali.
Ray anaishi kwa mama yake, halipi kodi
Watu tunatofautiana, kuna mwingine akipata hela/kazi anaanza kuwaza kujenga. Wengine wamezaliwa nyumba wamezikuta.
 
Kwa hyo Kwa kipato chake Kwa nafasi nyeti alishindwa kujenga nyumba ya hadhi yake?.
 
Yeah hii kafanya uncle wangu pia kigogo mkubwa anacheo kikubwa sana jeshini lakini kwao kijijini hata choo shida sijui watao mleta siku amekata moto watajisaidi wapi [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…