Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wew kuwa unaweza usimiliki nyumba ila umeacha project za maanaUnauhakika kuwa Boss Ruge Hakujenga ama Unajilimbwasa tu...!? Acha kukariri licha ya kuwa na mijengo mikali Dar, Mwanza, Arusha na Bukoba Boss Ruge alikuwa anamiliki Mashamba makubwa saana kule Morogoro, Mbeya na Iringa..... Ruge akili kubwa kuliko unavyofikiria wewe
Yani unajikuta unajenga nyumba nzuri halafu ukiondoka tu hapa duniani matoto yako majinga yanaanza kuigombania kisha wanaipiga bei, tena bei ya hasara tu ili wagawane pesa!! Ujinga mtupu we kura maisha..Duniani ni kama stendi tu
Unajenga stendi ili iweje wakati tunapita tu
Mind your own business chief...1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
7.
Itaendelea
Prof. Shaba na Kigosi wamenifurahisha sana naenda kununua nanasi la bariiidi nile nije nisubiri wa 71.Dkt. Omar Alli Juma

HII MAMBO YA KUJENGA KITAMBO ILIKUWA NGUMU SANA ILA SASA VIJANA WENGI WAMEAMKA BAADA YA KUONA WAZAZI WAO WANAYO PITIA ILA BADO WENGINE WAGUMU SANA TENA MAAFISA WA TAASISI KUBWA TU ..... !!!!!1.Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay
ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la serikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4.Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au ,anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo.alipostaafu aliigomea serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM
akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua sokoine if at all they try to vacate him,wakampotezea
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofari ngapi
7.
Itaendelea
Binadam hawaelewekUzi bora kabisa,mnaotoa mapovu jengeni jamani,mnatupa shida wakati wa kuwapumzisha
Anayoishi Sasa Kapanga. Ndo ameanza ujenzi Yombo
Ni mali yake au aliishi baada ya kuacha kazi Pugu?Nyerere kuna nyumba yake iko magomeni imegeuzwa makumbusho nyimba kali sana alijenga kabla ya uhuru
Hizo ghorofa kariakoo,kisutu,ilala,upanga,masaki wahindi wananunua apartment na kuishi hukoWahindi wanamiliki Ucanada,Ukenya,Uingereza na huko ndipo mali zao zilipo na wanazilipia kodi kwa pesa wanazoiba Tanzania.