Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

What if alikuwa na uwezo wa kulipia apartment rent hadi anakufa..na ana businesses zake za kumuingizia kipato bila matatizo. Kuna watu nawafahamu Bongo hii hawana nyumba za kuishi ila wanamiliki hadi Viwanda na kuna wengine wana nyumba ila hawazitumii ni strictly for business. Wengi msichokielewa ni kwamba suala la kujenga na kumiliki nyumba sio lazima sanaa kama mlivyokariri chenye ulazima ni mtu kuwa na kipato wakati wote wa maisha yako. Dunia ya leo mambo yamebadilika mnoo.
Unadhani kwanini hao hawajatajwa kwenye hii orodha? Kwahiyo unataka TID aendelee kuishi kwenye nyumba ya mama yake hadi kifo kimtenganishe na mama yake? Je kama mama yake naye angekuwa na mawazo ya kijinga kama yake angeishi wapi?
 
Whataboutism! your thinking is very shallow, Im out.
 
Nothing is as bad as being the victim of the system. I feel sorry for you. You are brainwashed.
I thought you meant it when you said you are out..!!!
Wewe kama ni victim of the susyem and you are part of the system, then wewe siyo victim wa hiyo system
 
What if alikuwa na uwezo wa kulipia apartment rent hadi anakufa..na ana businesses zake za kumuingizia kipato bila matatizo. Kuna watu nawafahamu Bongo hii hawana nyumba za kuishi ila wanamiliki hadi Viwanda na kuna wengine wana nyumba ila hawazitumii ni strictly for business. Wengi msichokielewa ni kwamba suala la kujenga na kumiliki nyumba sio lazima sanaa kama mlivyokariri chenye ulazima ni mtu kuwa na kipato wakati wote wa maisha yako. Dunia ya leo mambo yamebadilika mnoo.
Kuna vitu hatupaswi kuwaiga wazungu au wahindi,wanasababu zao.
Kiukweli kabisa kwa mila na desturi za kiafrika nyumba bila kujali ubora wake ndio uanaume
 
Afu maza ake ray yuko vizuri sana....unaijua ile bar/ na ni kituo white inn sinza kijiweni ukiwa unaelekea tandale? Hiyo bar iko opposite na alipokuwa anaishi kanumba, pale pia ni kwa mamaake
Bar siyo Mali ya mama yake na Ray Bali upande wa nyuma wa geti la de France mama Ray ana nyumba pale.Pia ndipo anapoishi Ray na chuchu Hance Kwa sasa takribani mwaka wa tano wa sasa.

Kuhusu kujenga wengi wanaongea ili kufurahisha genge muda uzidi kwenda siku za kuishi zipungue.Ray alikuwa na mjengo kibaha kwa Mathias ulioishia kwenye kupaua miaka hiyoo ila Kwa sasa sijui Nini kinaendelea.

Jiulize msanii kama El Sadat nyosh peak yake kwenye game inaisha na Bado anaendelea kuwa mteja mzuri Kwa wamiliki wa nyumba sinza mitaa ya white inn.Waoohh ni jambo la kufurahisha kwa upande mmoja ila kama msanii mwenye alama kubwa nchini hastahili kuishi kuishi maisha hayo .Pamoja na kuwa na nyumba huko chanika isiyoisha mpaka leo hata kwenye lenta bado.ila kwenye watoto kafyetua watoto wasiohesabika.

Jay more mpaka leo yupo kwao hapa sinza tunaishi naye kibishi.Uzuri jamaa msela Hana mbwembwe mtaani kama kwenye media.
 
Kuna vitu hatupaswi kuwaiga wazungu au wahindi,wanasababu zao.
Kiukweli kabisa kwa mila na desturi za kiafrika nyumba bila kujali ubora wake ndio uanaume
Wapi nimeandika kwamba nawaiga wazungu au wahindi, una uhakika kuwa ninaowazungumzia ni wahindi au wazungu? Au na wewe umekariri kwamba watu wanaoishi hivyo ni wahindi tu na wazungu? Sifa za uanaume ni kutimiza majukumu yako ya msingi, na kuwa na kipato cha uhakika bila kujali unamiliki nyumba au humiliki nyumba. Wanaume wangapi wanamiliki nyumba na bado ndani watoto wanashinda na njaa na hawapati mahitaji yanayostahili na hadi wake zao wanatoka nje kutafuta wanaume wa kuwasaidia kifedha?
 
Kiukweli ni aibu sana unafikisha umri wa 30+ una kipato friji, kabati la vyombo, na madumu ya maji yapo sebuleni,. Viatu na nguo chafu bado unakaa navyo chumba cha kulala

Sema ni mungu tu tunapenda kujenga tatizo hesabu
Umeongea ukweli mtupu na sio hizo mbwembwe za watu humu eti hatuishi milele au mbona wahindi hawajengi. Mungu akutie nguvu na kukupa haja ya moyo wako bro.
 
Bar siyo Mali ya mama yake na Ray Bali upande wa nyuma wa geti la de France mama Ray ana nyumba pale.Pia ndipo anapoishi Ray na chuchu Hance Kwa sasa takribani mwaka wa tano wa sasa.

Kuhusu kujenga wengi wanaongea ili kufurahisha genge muda uzidi kwenda siku za kuishi zipungue.Ray alikuwa na mjengo kibaha kwa Mathias ulioishia kwenye kupaua miaka hiyoo ila Kwa sasa sijui Nini kinaendelea.

Jiulize msanii kama El Sadat nyosh peak yake kwenye game inaisha na Bado anaendelea kuwa mteja mzuri Kwa wamiliki wa nyumba sinza mitaa ya white inn.Waoohh ni jambo la kufurahisha kwa upande mmoja ila kama msanii mwenye alama kubwa nchini hastahili kuishi kuishi maisha hayo .Pamoja na kuwa na nyumba huko chanika isiyoisha mpaka leo hata kwenye lenta bado.ila kwenye watoto kafyetua watoto wasiohesabika.

Jay more mpaka leo yupo kwao hapa sinza tunaishi naye kibishi.Uzuri jamaa msela Hana mbwembwe mtaani kama kwenye media.
Maisha ni kuchagua Mkuu, hatuwezi wote kuwa sawa na sio lazima tuwe sawa. Kikubwa na Muhimu ni furaha na amani ya Moyoni. Hawa tunaowasema wanaishi kwenye nyumba za wazazi wao unaweza kukuta wana financial freedom kulio sie wenye Vibanda na kuvimba vifua. Kila mtu ana maana yake ya maisha. Na kuna watu tunawajudge kwa umaarufu wao tu lakini kiuhalisia hawana kipato kile tunachodhania na hata kama wanacho nao ni binadamu wenye kasoro zao.
 
Kauli ya kipuuzi, ya mkosaji, mlevi, mzinzi na maskini hii. Najua unajifurahisha tu ila Dhamiri yako inasema ukweli na kukusuta.
Ss si kila mtu na life lake ww una nyumba mbili na unakomaa na hela ya kula but mm napanga ila hela ya kula maisha hainipigi chenga nna ndinga safi bora nani na ukifa watu watazirith izo nyumba zako kufanyia hayo uliyoyaelezea hapo bora nn ss
 
Doooh noma sana labda aliwajengea kina Juju mjengo yeye akaamua akae tu kwenye apartment baada ya kujua status yake ya Juliana.
That's the point. Ruge alikuwa na akili nyingi tusimchukulie poa, sio mtu wa kutazama vitu kwa namna ya kienyeji kama sisi. Badala ya kujenga nyumba ukaishi humo kisha ukafa ukatokea mgogoro kwanini usiwajengee wao direct na wewe ukaishi apartment na tiyari unajua makadirio how far you can hold.
 
Maisha ni kuchagua Mkuu, hatuwezi wote kuwa sawa na sio lazima tuwe sawa. Kikubwa na Muhimu ni furaha na amani ya Moyoni. Hawa tunaowasema wanaishi kwenye nyumba za wazazi wao unaweza kukuta wana financial freedom kulio sie wenye Vibanda na kuvimba vifua. Kila mtu ana maana yake ya maisha. Na kuna watu tunawajudge kwa umaarufu wao tu lakini kiuhalisia hawana kipato kile tunachodhania na hata kama wanacho nao ni binadamu wenye kasoro zao.
Bora hata wenye vibanda vyenu mkuu. Wengi wetu huku hatujapanga tunaishi kwenye magetho ya kugongea Kwa marafiki au ndugu .Yote ya yote tunatafuta Mali Kwa ajili ya watoto wetu ili wasikione Cha moto huko mbeleni .Cha ajabu sisi Kwa sisi tukikaa nyumbani na kutumia Mali za wazazi walizotafuta Kwa ajili yetu, maneno ya kebehi na dharau juu yanaanza .Tumekuwa watu tusiojua tunatakaka nini
 
That's the point. Ruge alikuwa na akili nyingi tusimchukulie poa, sio mtu wa kutazama vitu kwa namna ya kienyeji kama sisi. Badala ya kujenga nyumba ukaishi humo kisha ukafa ukatokea mgogoro kwanini usiwajengee wao direct na wewe ukaishi apartment na tiyari unajua makadirio how far you can hold.
Unaacha kujengea watoto unajengea malaya
 
Bora hata wenye vibanda vyenu mkuu. Wengi wetu huku hatujapanga tunaishi kwenye magetho ya kugongea Kwa marafiki au ndugu .Yote ya yote tunatafuta Mali Kwa ajili ya watoto wetu ili wasikione Cha moto huko mbeleni .Cha ajabu sisi Kwa sisi tukikaa nyumba na kutumia Mali za wazazi walizotafuta Kwa ajili yetu, maneno ya kebehi na dharau juu yanaanza .Tumekuwa watu tusiojua tunatakaka nini
Nimekuelewa sana Mkuu, tatizo kubwa ni dharau na Kebehi. Mimi ambae hajajenga simlaumu na wala simdharau kila mtu ana maisha yake aliyochagua na kuna sababu pia ambazo si rahisi wote tukakubaliana nazo.
 
Back
Top Bottom