Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Mchaga mjingaBen kinyaiya yupo kwao mpk keshokutwa ukimwambia ajenge mtakorofishana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchaga mjingaBen kinyaiya yupo kwao mpk keshokutwa ukimwambia ajenge mtakorofishana
Ben kinyaiya yupo kwao mpk keshokutwa ukimwambia ajenge mtakorofishana
Dah mzee una mafaili hatariBar siyo Mali ya mama yake na Ray Bali upande wa nyuma wa geti la de France mama Ray ana nyumba pale.Pia ndipo anapoishi Ray na chuchu Hance Kwa sasa takribani mwaka wa tano wa sasa.
Kuhusu kujenga wengi wanaongea ili kufurahisha genge muda uzidi kwenda siku za kuishi zipungue.Ray alikuwa na mjengo kibaha kwa Mathias ulioishia kwenye kupaua miaka hiyoo ila Kwa sasa sijui Nini kinaendelea.
Jiulize msanii kama El Sadat nyosh peak yake kwenye game inaisha na Bado anaendelea kuwa mteja mzuri Kwa wamiliki wa nyumba sinza mitaa ya white inn.Waoohh ni jambo la kufurahisha kwa upande mmoja ila kama msanii mwenye alama kubwa nchini hastahili kuishi kuishi maisha hayo .Pamoja na kuwa na nyumba huko chanika isiyoisha mpaka leo hata kwenye lenta bado.ila kwenye watoto kafyetua watoto wasiohesabika.
Jay more mpaka leo yupo kwao hapa sinza tunaishi naye kibishi.Uzuri jamaa msela Hana mbwembwe mtaani kama kwenye media.
Huenda huyo huyo mke ndiye aliyemuua mumeMkuu umeandika kama utani ila nimekumbuka siku moja tulienda kwenye msiba wa muumini mwenzetu mmoja...wakati tunarudi akina mama nilioongozana nao wakawa wanasema ila mwenzetu ana raha, amejengewa nyumba ya kuishi na zingine anapangisha hata uchungu hauwi mkubwa sana... nilishangaa kwa kweli
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji28] maisha hayakibaya ni hujajeenga,huna pagare ,huna pesa Bank na umepanga uswahilini na una mke na watoto ,umri nao miaka 40
[emoji38][emoji38][emoji38] hayo majamaa au siyo?Ishu ya babake kutojenga ni kweli,alikula bata akajisahau
Hajapambana kivyake amebebwa na akina Makamba,Kinana na Kikwete kuanzia masomo chuo kikuu India mpaka kwenye siasa,hao ndio marafiki wa baba yake tangu jeshini na kwenye chama,mzee wake anafariki Nape ndio ametoka kunakiza form six,huwezi kuzungukwa na hoyo mijamaa ukafa njaa mjini
[emoji1787][emoji1787][emoji23] stori wazipendazo jfNimebaki kucheka tu
Boma Yee hivi kweli ana nyumba Mbweni?Ipo Swaken kinyerezi na nyingine Mbweni chumba kimoja na sebule! Downtown ni kwenda kupiga picha kwenye appartment za watu i'm humbled you know!
Kuna bibi alikua anaitwa mundende sijui Gissele enzi za kina king dodoo la buchee anawapaka mkorogo hao mpk sio poa.Bado yupo sinza white inn.Huu mji mdogo hakuna pa kwenda😂😂😂tunabanana hapa hapa mpaka Israel mtoa roho atakapofanya kazi yake iliyomleta hapa duniani
Enzi za B bar ikiwa kwenye peak ulikuwa la sita!?kumbe uzee Bado😂😂😂 kabisa,vipi lakini na wewe umeshajenga?
Hata hapo Butiama alijenga tofauti na hii aliyojengeawa na jeshiNyerere kuna nyumba yake iko magomeni imegeuzwa makumbusho nyimba kali sana alijenga kabla ya uhuru
Boma Yee hivi kweli ana nyumba Mbweni?
Kujenga ni majaliwa kwa sisi makapuku ila kwa wengine ni uzembe,Mlio jengaga tuviota mna nongwa kuzalau wenzenu wasio na vijumba!! Kujenga ni majaliwa na ni mapenzi ya Mungu, Msukuru Mungu sana kwa kujenga hako kakiota ila usiwa seme wenzako.
Dunia Tunapita, Utajengaje njiani huo ni uhuni1. Dkt. Omar Alli Juma
Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la erikali liwatoe kinguvu na kwenda kusitiriwa kwenye magofu ya Serikali
2. Gilman Rutihinda
Huyu alikuwa gavana wa BoT enzi za Mwinyi, tulimzika Buguruni Malapa maana kwao Ngara hakuwa na nyumba bali kijumba.
3. Moses Nnauye
Huyu alikufa mwaka 2000 kama sikosei, ilibidi msiba tuupeleke kwa mzee Makamba maana tulikosa sehemu ya kufunga turubai kwenye zile flats za NHC, utafunga turubai kwenye flats?
4. Profesa Shaba
Huyu sijui yupo hai au, anasifika kuufanyia post mortam mwili wa hayati Sokoine, mpaka anastaafu na kumaliza kiinua mgongo hakuwahi kujenga hata choo. Alipostaafu aliigomea Serikali kuachia nyumba iliyokuwa mitaa ya Shaaban Robert karibu na Gymkhkana DSM.
Akiwatisha kuwa ataanika kilichomuua Sokoine if at all they try to vacate him, wakampotezea.
5. Steven Kanumba
Pamoja na kumiliki gari ya mamilioni kadhaa alikufa hajawahi kujenga hata kiosk
6. Ray Kigosi(yuko hai)
Bado anaishi kwa mama yake Sinza hajui hata mfuko wa cement inatoa tofali ngapi
7.
Itaendelea