Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Madon wa matajiri wakishakuwa na mguu wa kuku hapa kiunoni life lote kalipatia mkuu


Walimu waliojenga nao machungu ya mkopo wakikumbuka daah

Wazee wa vitabu, kuna mmoja aisee kila siku huko mjini whatsapp ni kupost tu kurasa na front page sio poa
 
Hahaha kweli tembea uyaone, watu wamewekewa siti spesho kabisa [emoji3][emoji2]
 
23. Watanzania wanaotumia mtandao wa linkedin.
Binafsi nilijaribu kutumia ule mtandao nikaushindwa.. Sijui ndio ushamba au nini japo wanasema ni mtandao mzuri kwa connection za kazi na networking, nikaona isiwe tabu ngoja nipambanie kitaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…