Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakakulombe sasaWakuu !
JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali.
Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka huu wa 2024 nimekuwa ni mtumiaji sana wa huu mtandao kupata habari na connections mbalimbali ili kujenga na kuboresha maisha yangu.
Mtandao wa JamiiForums una wanachama wa kila aina ni vile tu kumekuwa na matumizi ya majina yasiyo kuwa halisi. Pamoja na hivyo nimepata kujuana na kufahamiana na watu mbalimbali pasipo hata kuonana nao ana kwa ana lakini michango yako ya mawazo imenifanya niwe ni mtu mwenye kusoma mawazo yao na kuyafanyia kazi. Napata kuelimika, kuburudika na msaada mbalimbali wa mambo ambayo hata nilikuwa sina ufahamu nayo.
Ifuatayo ni orodha ya Wanachama 10 bora zaidi kwangu kwa mwaka huu. Nitaorodhesha tu majina pasipo kutoa sababu lakini michango yao ya mawazo, utu wao, hekima zao na mitazamo yao imekuwa ni faida kubwa sana.
1. Mshana Jr
2. Robert Heriel Mtibeli
3. DR HAYA LAND
4. The MoNA
5. Aaliyyah
6. Captain Marvelous
7. Pascal Mayalla
8. Elton Tonny
9. Greatest Of All Time
10. raraa reree
Bonus: Cute Wife 🌹🌹🥀🌺🌺
Wanachama wote ni bora lakini hii orodha ya hawa Wanachama kwangu imekuwa ni bora zaidi.
Asanteni sana. Ninawasilisha 🙏
Nifundishe mimiManyanza mbona haujanitaja?
Nitakuwa sikufundishi tena Kiingereza ujue.
Bora hata nikufundishe wewe.Nifundishe mimi
Dah..🙏🏾🙏🏾🙏🏾 asante sana ManyanzaWakuu !
JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali.
Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka huu wa 2024 nimekuwa ni mtumiaji sana wa huu mtandao kupata habari na connections mbalimbali ili kujenga na kuboresha maisha yangu.
Mtandao wa JamiiForums una wanachama wa kila aina ni vile tu kumekuwa na matumizi ya majina yasiyo kuwa halisi. Pamoja na hivyo nimepata kujuana na kufahamiana na watu mbalimbali pasipo hata kuonana nao ana kwa ana lakini michango yako ya mawazo imenifanya niwe ni mtu mwenye kusoma mawazo yao na kuyafanyia kazi. Napata kuelimika, kuburudika na msaada mbalimbali wa mambo ambayo hata nilikuwa sina ufahamu nayo.
Ifuatayo ni orodha ya Wanachama 10 bora zaidi kwangu kwa mwaka huu. Nitaorodhesha tu majina pasipo kutoa sababu lakini michango yao ya mawazo, utu wao, hekima zao na mitazamo yao imekuwa ni faida kubwa sana.
1. Mshana Jr
2. Robert Heriel Mtibeli
3. DR HAYA LAND
4. The MoNA
5. Aaliyyah
6. Captain Marvelous
7. Pascal Mayalla
8. Elton Tonny
9. Greatest Of All Time
10. raraa reree
Bonus: Cute Wife 🌹🌹🥀🌺🌺
Wanachama wote ni bora lakini hii orodha ya hawa Wanachama kwangu imekuwa ni bora zaidi.
Asanteni sana. Ninawasilisha 🙏
cocasticWakuu !

Jiwe gizan kama sio mkopaji povu la nn, usichukulie serious kla k2 mana na me nikichukulia serious ww kupoteza muda wako kutoa nonsensical praises nisinge ata comment.Kijana jitahidi kuwa na adabu hata kidogo kwa waliokutangulia humu. Hunijui sikujui halafu unanizushia Mimi ni Mkopaji
😀😃😃😃Kwani mkuu vocha nilikua nagaiwa peke angu..
Kwani mkuu mimi ndo kiongozi mpaka umeni tag hapo
Kwani mkuu kusema ujawaona kina Mbaga Jr na mwenzake Vincenzo Jr
Mi sijapenda 😂😂😂😂😂😂😂